International Forum

News and Stories from rest of the World
Jeshi la Polisi linawashikilia watu watatu wanaotuhumiwa kwa kuhika na kifo cha mwanariadha Tyson Gay. Binti wa mwanariadha huyo ajulikanaye kwa jina la Trinity Gay alifariki hapo jana baada ya...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Mfalme wa zamani wa Rwanda Kigeli wa tano Ndahindurwa amefariki dunia akiwa uhamishoni nchini Marekani. Mfalme huyo alitawala Rwanda kwa miaka miwili tu kwanzia mwaka 1959 hadi 1961 wakati...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
A recent series of studies have been dealing with the dynamics behind the building of developmental states in Africa. This working paper is a contribution for that debate by looking at the...
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Wafuasi wa chama cha Democratic wamechanga kiasi cha dollar 13,000 ili kuikarabati office ya Republican iliyoshambuliwa Jana. Wamesema watasimamia mpaka ikarabatiwe office hiyo . Hillary...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 50 wanaripotiwa kuuawa kufuatia mapigano mapya yaliyozuka nje ya mji wa Malakal nchini Sudan Kusini. Vikosi vya waasi viliendesha mashambulizi kwenye mji huo wa pili kwa ukubwa siku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais Barrack Obama na wanawe Sasha na Malia. Afisa mmoja wa chama cha Republican amewakosoa mavazi yao.Watoto wa rais wa Marekani Barrack Obama, Sasha na Malia wameshtumiwa kwa kukosa heshima...
0 Reactions
40 Replies
21K Views
Henry Chau anayejiita mwendawazimu Mtuhumiwa huyo wa mauaji ya kushangaza ana umri wa miaka thelathini na mmoja jina lake ni Henry Chau aliibua hisia za walio wengi katika kesi ya namna yake...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mshirikishe mwenzako Raiya wa Uingereza waliouawa Thailand Polisi nchini Thailand wameimarisha hatua za uchunguzi wa DNA kwenye kisiwa cha Koh Tao ili kubainisha waliohusika katika mauaji ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumekuwapo mfululizo wa maafa yatokanayo na mafuriko yanayosababishwa na mvua huko Thailand. Itakumbukwa kwamba waziri mkuu aliyejiuzulu, EL aliwahi kuwaleta wataalamu kutoka Thailand ili waweze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Afisa wa cheo cha juu serikalini ameiambia BBC kwamba wasichana 21 waliokuwa miongoni mwa wasichana wa shule waliotekwa na wapiganaji wa Boko Haram eneo la Chibok sasa wako huru. Taarifa zinasema...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Ni Mwanafunzi mmoja pekee nchini Liberia kati ya wanafunzi 42,000 waliofanya mtihani wa kila mwaka wa eneo la Afrika Magharibi aliyepita mtihani huo ili kujiunga na chuo kikuu Armstrong Gbessagee...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Ofisi moja ya chama cha Republican katika jimbo la North Carolina imeharibiwa na moto huku jengo lililo karibu yake likipakwa rangi ya nembo inayopinga chama cha Republican,mamlaka imesema...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Baada ya kufuatilia kwa karibu pilika pilika za uchaguzi wa rais nchini Marekani in kwamba; CNN inakidhi vigezo vyote vya kurefushwa na kuitwa CLINTON NEWS NETWORK (CNN). Hii ni kwa jinsi wanavyo...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Rim Taher,AFP 5 hours ago Tripoli (AFP) - Five years after an uprising killed Libya's Moamer Kadhafi, residents in the chaos-wracked country's capital joke they have grown to miss the longtime...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Cracker Barrel Attack: Tasha Hill Beaten In Front Of Daughter, Called Racial Slurs The Huffington Post First Posted: 09-16-09 03:55 PM | Updated: 09-16-09 05:10 PM Read more at...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikutokana na kuawa kwa kamada wa sehemu inayotaka uhuru ya Ukraine Mashariki. Ni kamanda "Motorola " aliuwawa Kwa bomu la kutegwa Tazama tishio lilitangazwa na watu wa Donobass (east Ukraine )...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Hivi hii Haiti why kuna umasikini kuliko hata wa Africa? shida ni nini hasa? Kuna watu wanasema uongozi mbovu but mbona nchi nyingi tu eneo hilo uongozi mbovu pia? why Haiti ni kama...
10 Reactions
73 Replies
8K Views
13 October 2016 Image copyrightAFP Image captionThomas Sankara had a confrontational relationship with then-French President Francois Mitterand Burkina Faso has asked France to declassify...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
ISIS huko Iraq iliwekwa na US yenyewe eti sasa inajifanya kuisaidia Iraq kupigana nayo kutwaa mji wa Mosul,what a conspiracy this country is!! Kama wanataka kusaidia iraq ilikuwa ni kitendo cha...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Wachimbaji madini Mynmar wakutana na dini aina ya Jade lenye urefu wa futi 9 na uzito wa tani 175. Dini hilo linakadiriwa kuwa na thamani ya paundi milioni 140. Mynmar ndio nchi inayoongoza kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom