International Forum

News and Stories from rest of the World
Takribani watu 30 wamefariki dunia leo katika ajali iliyohusisha magari mawili yaliyogongana uso kwa uso nchini Pakistan Aidha watu 69 wamejeruhiwa katika ajali hiyo wengi wao ni wanawake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uchaguzi wa marekani umefikia patamu ambako yule mbaguzi, asio waheshimu watu Donald trump anakashfa ya kuwaingilia kimapenzi wanawake wawili kwa lazima. Hii huenda ikamuangusha Trump na ikawa ndo...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
The $35 million estate belonging to Teodoro Nguema Obiang, the agriculture minister of Equatorial Guinea and the son of its ruler, in Malibu, Calif., in the lower center of the frame. Taint of...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Akiongea katika mkutano wa kampeni zake zinazoendelea nchini marekani Mgombea wa Republican bwana Donald Trump amesema ana wasiwasi na mwonekano wa mgombea mwenzake wa Urais kupitia chama cha...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Democrat, Hillary Clinton anaongoza katika kura za maoni mpya kwa mujibu kituo cha runinga cha NBC News. Anaongoza kwa asilimia kumi moja zikiwa zimebaki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto Mfalme ajulikanye kama Maha ndiye anayetarajiwa kumrithi Baba yake, pichani ni Mfalme mtarajiwa wa Thailand! Mtoto wa Mfalme akisubiriwa kushuka...
6 Reactions
42 Replies
10K Views
Akijibu tuhuma za mkewe Rais huyo wa Nigeria kasema ajui mke wake ni mwanachama wa chama gani hivyo . Na kusema mke anatakiwa kujua kazi zake na mipaka yake. Alisema mke wangu najua anatakiwa...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Televisheni ya Taifa nchini Urusi imeonya kuhusu uwezekano wa vita ya nyuklia wakati huu ambapo mahusiano kati ya Marekani na Urusi yakiwa katika hali tete. ======================= Russian...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Putin amewaweka wamarekani pabaya mno .wikileak huko kumekucha ,Wikipedia ya clintons hacked ,na ameshaanza kuweka majeshi Cuba .FBI wanasema machine za kura zinaonyesha dalili ya kuchezewa.Trump...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Raia wa Thailand wameanza kuomboleza kufuatia kifo cha Mfalme Bhumibol Adulyadej, ambaye alikuwa nguzo ya uthabiti wa kisiasa nchini humo wakati wa utawala wake uliodumu miaka 70. Mfalme...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mexico inapanga kumkabidhi mlanguzi hatari wa mihadarati Joaquin "El Chapo" Guzman kwa maafisa wa Marekani mwezi Februari, kwa mujibu wa afisa mmoja mkuu nchini Mexico Hata hivyo, Guzman anaweza...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
My favourite line quote Putin alipoongea na waandishi wa habari. ''But we know that technologies advance, we een know in which year the Americans will accomplish a new missile, which will be...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwangu mimi D.Trump ni bonge la Inspiration, sijawahi kuona mtu strong-willed kama D.Trump, ukichukulia yote yanayomkumba Trump ni binadamu wachache sana wanaoweza kuhimili hiyo Stress Test na...
19 Reactions
48 Replies
5K Views
By Clement Uwiringiyimana | KIGALI Nearly 200 nations have agreed a legally binding deal to cut back on greenhouse gases used in refrigerators and air conditioners, a major move against climate...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Wakati Rais Barrack Obama alipochaguliwa kuwa kiongozi wa Marekani mwaka 2008 alikuja kauli Mbiu Change We Can Believe In. Rais Obama anaondoka madarakani akiacha dunia hii si salama na kama kuna...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali ya Nigeria imetoa agizo kuwa wanawake wanaovaa suruali za kubana wachapwe viboko hadharani ili kufanya jamii iwe na adabu kabisa. Je, unauonaje uamuzi huu?-Voice of Zigua
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Maafisa wa usalama nchini Misri wanasema kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu wamewaua wanajeshi 12 wakati wa shambulizi katika kuzuizi cha jeshi eneo la rasi ya Sinai. Wanajeshi 8...
1 Reactions
1 Replies
963 Views
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amejibu onyo kutoka kwa mkewe ambaye alikuwa ametahadharisha kwamba hatamuunga mkono uchaguzi mkuu ujao iwapo hatafanya mabadiliko serikali. Bi Aisha, kwenye...
2 Reactions
2 Replies
880 Views
Back
Top Bottom