International Forum

News and Stories from rest of the World
  • Closed
Raia wa Iran wameshitushwa na madai yaliyotolewa yakimshutumu Msoma Qu'ran Maarufu nchini humo ambaye anakabiliwa na mashitaka ya kudhalilisha kingono watoto wadogo wa kiume. Inadaiwa Bw. Saeed...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
MAREKANI: Polisi katika jimbo la Mississippi wanachunguza uhalifu wa chuki baada ya Kanisa linalotumiwa na watu weusi kuteketezwa na kisha kuchorwa maneno ya kusema: "Mpigie kura Trump". Kanisa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangazo la mkurugenzi wa FBI James Comey la kuchunguza upya barua pepe za Bi. Clinton huwenda likabadili upepo wa mchuano kati ya wagombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Marekani siku chache...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Leo ndiyo nimeamini kwamba kweli Dunia hii ni duara na kwamba hakuna jipya kila kilichopo kilikuwepo na kwamba yote tuyafanyayo ni marudio tu! Leo Raisi wa USA, Barack Obama anasema kwamba...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Takribani watu 17 wamefariki na wengine 50 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha treni zilizokuwa zimebeba mamia ya abiria. Mashuhuda wamedai kuwa treni moja iliigonga treni nyingine iliyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Ningependa kujua kama AU au SADC nao watatuma International observers kwenye uchaguzi wa Marekani. Maana ni vyema kuhakikisha hawamchakachui mheshimiwa Trump.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenya imetangaza kuwa inawaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi maalumu cha Umoja wa Mataifa cha kudumisha amani kilichoko Sudan Kusini, baada ya kamanda wake kutimuliwa kazini. Wizara ya Mashauri...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Rais wa Marekani Barack Obama ameonya kuwa uchunguzi wa shirika la kijasusi la FBI kuhusu barua pepe za Hillary Clinton usiendeshwe kikashfa. Obama amemwaambia waandishi wa Marekani kwamba...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Rwandan President Paul Kagame Rwanda, a name indelibly associated with the genocide of as many as 1 million people, is today a beacon of hope on the African continent — in large part due to the...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Kijana mweusi Danney Williams anayedai kuwa mwanawe rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton, ameomba kufanyiwa vipimo vya DNA. Williams aliwasilisha ombi hilo wakati mkutano aliofanya na vyombo...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Azua tafrani uwanja ndege baada ya kutaka kusafiri akiwa uchi Mwanaume mmoja amezua taharuki katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzi katika mji mkuu wa Malawi Lilongwe baada ya kufika...
5 Reactions
28 Replies
5K Views
Mwanasiasa Julius Malema na Chama chake EFF wamepanga kuanzisha maandamano ya kum'ngoa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma leo. Maandamano yasio na kikomo yataanzia Church Square katikati ya jiji la...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Katika sehemu ya kwanza ya mada yangu hii nilielezea juu ya mwanasiasa mahiri aliyechipuka kwa kishindo Trump kwa kuweka makadirio ya mwanzo ya ushindi wake kuwa 76% ya kura zote kuweza kupigwa...
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Umoja wa mataifa imekiri kuwa vikosi vyake vya kulinda Amani Sudani Kusini vimeshindwa kuwalinda raia katika mji mkuu wa Juba wakati wa mapigono baina ya pande mbili mwezi Julai. Afisa wa kulinda...
0 Reactions
1 Replies
627 Views
Hillary Clinton ameonekana kushinda Mdaharo dhidi ya D.Trump kumbe kulingana na taarifa iliyotolewa alipewa maswali kabla ya Mdaharo huo, na hivi sasa kituo cha CNN kimesitisha kufanya kazi na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wengi wa wadau wa siasa hapa nchini huwa hawapendi kufuatilia mambo kwa undani na kufahamu hasa nini ambacho mtu fulani alishafanya anafanya au atakuja kufanya, hili linaonekana hasa katika...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ule msemo kwamba usirushe mawe ukiwa katika nyumba ya vioo umewafika Warusi baada ya kikundi fulani cha Ukraine kinachojiita "Cyber Hunta" kuingilia mtandao wa email wa ofisa wa juu katika...
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Katika hali ambayo sio ya kawaida kwa kiongozi kama Rais wa nchi, Rais John Magufuli ambaye yupo nchini Kenya kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili amekutana na foleni wakati akielekea katika eneo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Baada ya Mfalme wa Thailand kufariki Dunia mtoto wa Mfalme huyo ajulikanae kama *Maha* ndiye anayetarajiwa kumrithi Baba yake, pichani ni Mfalme mtarajiwa wa Thailand!,, Jamaa ni 64 yrs of age...
3 Reactions
108 Replies
20K Views
Wadau Fuatilieni link hapa china, ninachotaka mtambue ni kwamba nimegundua Israel ndo kila kitu. Haiwezekani mataifa makubwa yote yamepiga kambi Israel kuanzia wafalme, marais wao na mawaziri wa...
2 Reactions
146 Replies
12K Views
Back
Top Bottom