International Forum

News and Stories from rest of the World
Image caption Zimbabwe iliacha kutumia sarafu yake mwaka 2009 Wazimbabwe si watu wa kutaka pesa zao kuchezewa hasa baada ya kuzinduliwa kwa noti ,mpya ambazo zina lengo la kusuluhisha tatizo la...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zilizonifikia Punde toka kwa Rafik yangu aliye USA anasema kuna kashfa kubwa inayomhusisha mgombea Hillary Clinton pamoja na Utawala wa Barack Obama. Inasemekana kwa mujibu wa uchunguzi...
4 Reactions
74 Replies
8K Views
Maamuzi yameshafikiwa na wananchi walio wengi, kujitoa katika jumuiya ya ulaya Kwa kura ya maoni,, leo hii ku trigger article 50, mahakama kuu imeamua ni mpaka kuidhinishwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
The United States on Wednesday reiterated its opposition to a third term for Rwanda President Paul Kagame. The US comment, made in response to a query from The EastAfrican, follows the...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Kampuni ya vifaa vya umeme ya Samsung yatangaza kurudishwa kwa takribani mashine milioni 3 za kufulia kwa kuwa kuna taarifa za kuwa mashine hizo zinaweza kulipuka wakati zikifanya kazi. Mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maonyesho kama haya hayajatokea tangu enzi za vita vya baridi. Hii ni baada ya Urusi kuchokonoa kwa kuchomoa makucha ili kuonyesha wapo tayari kwa mapambano. Urusi ameonyesha bomu kubwa zaidi la...
8 Reactions
140 Replies
18K Views
Emotions high in final days Even "Saturday Night Live" has had enough. During the opening sketch Saturday, Alec Baldwin broke out of his Trump impression and turned to Kate McKinnon, who plays...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa na siraha ya moto (bunduki) alionekana katika mkutano wa kisiasa wa Donald Trump katika mji wa Reno! Mtu huyo ambaye ni supporter wa Hillary alikuwa amepanga kumrushia...
2 Reactions
26 Replies
7K Views
China imeonyesha hadharani ndege zake mpya za kivita aina ya J-20 ambazo zina uwezo wa kujificha na kukosa kuonekana kwenye mitambo ya rada. Ndege mbili za aina hiyo zilipaa angani kwa sekunde 60...
5 Reactions
60 Replies
10K Views
Mamlaka za Usalama nchini Marekani zimeanza uchunguzi wa uwezekano wa shambulio la kigaidi ambalo huenda likatokea kabla uchaguzi mkuu Jumanne wiki ijayo. Inadaiwa kuwa shambulio hilo huenda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Marehemu Tupac Omar (Amaru)Shakur Kwa vijana wa siku za karibuni , hatujamsahau rapper Tupac Shakur na kibao chake cha zile mean streets za LA na ile Willd Wild West, California Love...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Image copyright HOPEWELL BAPTIST CHURCH Polisi katika jimbo la Marekani la Mississippi wanasema wanachunguza uhalifu wa chuki baada ya Kanisa linalotumiwa na watu weusi kuteketezwa na kisha...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Serikali ya Italia imetangaza kuwa mateka watatu waliotekwa nyara nchini Libya mwezi Septemba, wameachiliwa huru na wamerudishwa nchini humo. Wizara ya mambo ya nchi za nje, ilisema mateka hao...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Mfumo wa uchaguzi wa marekani hautoi nafasi kwa raia kuchagua Rais moja kwa moja, Bali kunakuwepo na wawakilishi wa vyama vilivyoshinda katika majimbo ambao hao ndio hupiga kura kumchagua Rais...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Baadhi ya Magari yaliyochukuliwa Waendesha mashtaka kutoka Uswizi ambao wamekuwa wakifanya uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wametwaa magari 11 ya kifahari yaliyomilikiwa na mwana wa kiongozi wa...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Huku watu wengi wakiwa na uraibu wa mambo tofauti kama vile unywaji wa pombe, uvutaji sigara na mambo mengine, mwanamke amekiri ana uraibu wa kuzaa watoto wengi sana Mwanamke huyo kutoka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati ule taifa letu (Marekani)litakapo ziacha kanuni za sheria yake kiasi cha kutunga shelia ya jumapili, kwa kitendo hiki uprotestanti utakuwa umeungana pamoja na upapa-5T712(1889)...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu amechukuliwa na watu wasiojulikana, baada ya kuonyesha bango lililokuwa na maandishi ya kumtaka rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ajiuzulu Bwana Mugabe alikuwa...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom