Nilisikia kauli ile ila sikujua hasa kwanini alisema kauli ile.Hata hivyo niliikubali sana.
Sababu kubwa ya kwanini niliikubali ni kwamba, wazungu wana aibu wanapofanya mambo mabaya dhidi ya...
Mimi ni miongoni mwa watanzania wanaopinga baadhi ya tafiti zinazotoa majibu potofu kwa jamii. Uchaguzi wa Marekani pia umeonyesha kuwa sio kila anayeongoza kwenye kura za maoni anaweza kuibuka...
Mtandao wa Uhamiaji wa nchini Canada wapata hitilafu baada ya kuzidiwa kufuatia watu wengi kutembelea mtandao huo wakitaka kuhamia nchini humo kufuatia ushindi wa Trump.
Watumiaji wengi wa...
habari wadau..
wazungu wametufundisha kitu kwamba mzawa kwanza.. wamechoka na wageni na wahamiaji kufaidika marekani kuliko wao wazawa...
unemployment inakuwa kubwa kwa wazawa huku wageni...
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa kugombea nafas ya Urais nchini Marekanina mengi nimejifunza nikihusisha na siasa zetu. Nikakumbuka kitabu kimoja nilikisoma zaman sana cha DANIEL...
Hillary Clinton and Donald Trump are separated by only two percentage points in a new Washington Post-ABC News tracking poll, ending a week in which the race has tightened as core Republican...
Haaahah yaani Africa tulizidi kuwasemea marekani na tayari tulikuwa na rais wao wakati America ni ya kwao na maamuzi ni ya kwao wenzetu hawajaendeshwa na mihemuko wala mchecheto wanajua nani...
Democrat stronghold Florida looks set to overwhelming vote in Donald Trump, with early ballot count showing a Republican landslide win in state.
Even though President Obama won Florida twice...
Wakuu kwa mwenendo wa marekani navyouona ,wapo na raisi Obama ambaye angalau sio mbaguzi lakini..watu weusi kila siku wanyanyaswa na kuuliwa
Najiuliza sana hivi huyu trump akiingia madarakani...
Yaani nimepitia runinga za nchi tofauti naona zote zipo live kuhusu uchaguzi wa Marekani.
Kwetu Kenya, naona hata Tanzania ITV wapo live Marekani. Mitandao yoke ya kijamii haijasazwa pia.
Ifike...
Nimefatilia matokeo ya uchaguzi wa Marekani lakini vyombo vyote vya habari (mainstream media) havitaki kusema ukweli. Kwasasa Trump anaongoza lakini vyombo havitaki kusema kuwa anaongoza na...
Waombaji wa visa kutimka USA wameizidi nguvu Website.... baada ya kuona dalili za Trump kushinda.
Kazi ipo
source: Canada immigration website crashes amid strong Trump lead
Waziri mkuu amewatangazia kubadilishwa kwa Noti ya 500 na 1000 rupee wananchi wa india kwa taarifa ya dharura wadau naomba nipate mchango wenu notice ya kubadilishwa pesa ndani ya masaa?
Huu Uchaguzi patakuwa hapatoshi, maelite wameshikwa pabaya na D.Trump tayari kuna chaos ya kufa mtu, mashine za kupigia kura zimefeli sasa hivi wameamua kutumia kalamu na karatasi kwenye baadhi ya...
Ikiwa Hilary Clinton atafanikiwa kushinda uchaguzi wa Marekani ina maana mataifa matatu makubwa duniani yenye ushawishi wa kiuchumi na kijeshi yataongozwa na wanawake, mbali na Marekani kuna...
Kundi kubwa la meli za kivita za Urusi litapitia katika mlango wa bahari wa Uingereza.
Meli hizo zinaelekea Syria ambapo Urusi imekuwa ikisaidia wanajeshi wa Rais Bashar al-Assad kukabiliana na...
(CNN)This weekend, I got a reality check.
As I can't vote in the American elections, I had decided to do the next best thing: be in America as the woman I have been rooting for since 2004...
I reached the pinnacle of success in the world. In others' eyes, my life is an epitome of success.
However, aside from work, l have little joy. In the end, wealth is only a fact of life that lam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.