Mama Clinton kubali umashindwa kwa hoja! Cha ajabu hivi sasa unatoa viroja!
Clinton na wafuasi wake hivi sasa wanalalama na kulia kilio cha wachawi kuwa Marekani imegawanyika kutokana na ushindi...
Haya Bw. Donald J. Trump ndo rais mteule wa taifa bora kabisa duniani.
Kabla ya uchaguzi 'wajuvi' wa mambo walitabiri kuwa atagaragazwa vibaya mno na bibi Hillary Clinton.
Hata mi mwenyewe...
Kuna Watu nashindwa kuwaelewa kabisa humu JF halafu nadhani ni ' wageni ' kwangu kwani kuna siku moja niliandika kitu humu tena nikiwa tu katika hali ya ' mizaha ' yangu kuwa Mama Clinton...
Imekuwa ni kawaida ya viongozi wanaojiita wa kiroho kutoa tabiri mbalimbali na shuhuda kemkem katika jitihada za kujiongezea wafuasi (kondoo/waumini).
Nakumbuka miaka ya nyuma Tanzania tulikuwa...
TAREHE 8/11/2016 NI SIKU YA KUAMUA NANI AWE RAIS WA MAREKANI KATI YA HILLARY CRINTON NA DORNALD TRUMP.
•Na ujue mfumo wa electoral college unaoamua nani atakaye hudumu white house.. Kama raisi...
Kama atashindwa ntaendelea kuishi Tanzania
Iwapo atashinda Clinton nawambiia nyumba nawapa naondoka na begi la mgongoni nawaachia nchi yenu
Welcome our next president of USA Donald Trump
Raia wa Marekani kesho wanapiga kura ya kumchagua Rais atakayeliongoza taifa hilo kwa kipindi cha miaka minne ijayo.
Katika uchaguzi huo Mgombea DONALD TRUMP wa chama cha Republican atachuana...
Naona watu wengi wanajadili sana uchaguzi wa marekani na ushindi wa trump, wengine wanaponda wengine wanapongeza, em tuwe na akili, tusianze kumjadili mtu kabla ya kuona utendaji wake ukoje...
D.Trump!
Chama cha D.Trump Republican siyo tu kimeshinda uchaguzi bali pia kimechukuwa viti vingi zaidi kwenye Bunge (Senate) la USA hivyo D.Trump kama vile
Pombe Magufuli(PhD) wetu anaongoza...
In a message to Donald Trump, Russian President Vladimir Putin has expressed confidence that the dialogue between Moscow and Washington, in keeping with each other’s views, meets the interests of...
Crude prices slumped on Wednesday, with investors selling off as vote counting showed Donald Trump winning the US presidential election.
North Sea benchmark Brent dropped by 1.3 percent, trading...
Huyu mgombea wa Marekani bwana Trump ambaye nimempa jina la MAGUFULI sababu wana tabia zinazofanana kwa asilimia nyingi.
Huyu bwana wa Republic pamoja na mapungufu yake ila ni kiongozi bora...
Kwanini mnaonyesha upendeleo wa wazi kabisa kumpendelea mgombea urais wa Marekani Hillary Clinton, je kwanini mnamuogopa Donald Trumph,Acheni upendeleo
Katika kile kinachoonekana kukwepa lawama kutoka kwa wanachama wenzake wa Republican, Rais mstaafu wa Marekani wa awamu ya 43, George .W. Bush na mkewe Laura kupitia kwa Mkurugenzi wao wa...
Wana bodi,
Ninawaomba serikali ya Tanzania iandae pongezi kwa Marekani kwa kupatikana Rais wa 45 wa taifa hilo kubwa na lenye demokrasia pana.
Tangu kuchaguliwa kwa Rais Magufuli hajawahi...
Vyombo vya habari vya Nchi ya Malawi vimetangaza kutotangaza habari zozote zinazomuhusu Rais wa Taifa hilo Peter Mutalika. Hii ni baada ya kuona vinakandamizwa Uhuru wao kwa Kuambiwa lipi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.