Tumeshuhudia kura za wananchi wa kawaida wakimchagua Bi Clinton kuwa raisi wao ...ila Kura za wajumbe 500 na ushehe,ndio wamebadiri upepo wa Bi Clinton na wamarekani wa Mjini na Mashambani..sasa...
So I'm watching Donald Trump's speech at the Republican National Convention and I'll be damned this guy is the next President of the US. Before you all jump on me, I was one of those thinking he...
President Barack Obama is hosting his successor Donald Trump at the White House for what could prove to be awkward transition talks.
The Republican president-elect has questioned Mr Obama's US...
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa...
RealClearPolitics - Election 2016 - General Election: Trump vs. Clinton
Kuna watu wanafikiri kashifa ya email itabadili matokeo .
Ukweli ni kwamba hata kura ambazo zimeshapigwa zaidi ya...
Serikali ya Ivory Coast, yapiga marufuku uuzaji wa pombe iliyo ndani ya vifuko vidogo vya plastiki (maarufu kama viroba). Hii ni kwajili ya kupunguza matumizi mabaya ya pombe, pamoja na kulinda...
Waafrika tuna tatizo kubwa sana la kisaikolojia kudhani bila mzungu hatuwezi kwenda kokote. Kwa ujumla tunamwabudu mzungu, na siku zote mzungu akijua hilo anaendeleza dhana ya kutudharau na...
Jamani Kimyaa sana Ubalozi wa Marekani hawajampongeza wala kutoka taarifa za aliyeshinda Urais wa Marekani waliishia Ku tweet wakati matokeo yanatoka baada ya hapo Kimyaa hadi sasa.
Sijui Kimyaa...
Nani walimpigia kura Donald Trump?
Nani walimpigia kura Trump?
53%
ya wanaume - 41% walimpigia Clinton
42%
ya wanawake - 54% walimpigia Clinton
58% ya Wazungu - 37% walimpigia Clinton
8%...
Bwana Joshua aliwaambia wafuasi wake siku ya Ijumaa kwamba ameona mwanamke akishinda. Baada ya Donald Trump kushinda kwa wingi wa kura katika uchaguzi wa Jumanne ,wageni katika ukurasa wa facebook...
Salam Comrades..
Napenda kuelekeza uzi huu kwa Mzee Mwanakijiji atupatie walau neno kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Rais kule Marekani ambapo Donald Trump ameshinda.
Nini mtazamo wako...
Apart from all odds known to Germany, it setted a precedence to the entire world that women have capability like their fellow men. Their cansellor Angela Merkel, won election twice. This shows...
Mzungu hawezi kukubali kupoteza Afrika hata siku moja na wewe J.Zuma unajaribu kumyang'anya Mzungu tonge mdomoni kwa kuanza kujitoa ICC, sasa Mzungu ana hit back, na maandamamo yameshaanza na...
Kwa nini si Hilary Clinton? Ndilo swali ambalo linaulizwa kila kona baada ya mgombea huyo wa chama cha Democtratic kuangushwa na Donald Trump wa Republican katika Uchaguzi Mkuu wa Marekani.
Si...
Habari ambaz0 hazikutegemewa kwa ushindi wa Donald trump dhidi ya Hillary Clinton imeanza kuzama marekani kote na duniani kwa watu hao kujiuliza swali moja,inawezekanaje hii kutokea?,na nani wa...
Licha ya Rais Obama kuhimiza umoja na Bi Clinton kuwaambia wafuasi wake kwamba Bw Trump anafaa kupewa "nafasi ya kuongoza", ushindi wake umezua maandamano katika miji na majimbo kadha Marekani...
Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi Donald J Trump ameibuka na ushindi wa kutosha dhidi ya Hilary Clinton aliungwa mkono na Rais wa sasa na baadhi ya marais wastaafu. Kwenye uchaguzi huu...
I congratulate Mr. Donald Trump on his election as the President of the United States of America. Elections in the US or any country are a matter for the people of that country.
Our relationship...
Johannesburg, Africa Kusini
Hisia kali zimetolewa mitandaoni baada ya mwanamume mzungu kuonekana akimwingiza mwanamume mweusi kwenye jeneza kwa lazima huku akitishia kumchoma akiwa hai
Video...
Masoko ya hisa duniani yameanza kulegalega na yale ya Marekani yakielekea kwenye anguko kubwa kutokana na matokeo ya Urais wa nchi hiyo yanayoendelea kutoka, kuwashangaza wawekezaji duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.