Russia Confirms Arms Deal to Supply China With S-400 Air Defense Systems
10:23 13.04.2015 (updated 16:13 13.04.2015)
The system can engage up to 36 targets with 72 missiles simultaneously...
Mwanafunzi akimfuata mwalimu
Mwalimu mmoja nchini Russia aliokolewa na wanafunzi wake darasani baada ya kumzuia mwenzao asimshambulie mwalimu huyo mwenye makamo.
Tukio hilo lilitokea kwenye mji...
Baada ya kuongezeka presha ya kumtaka mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha republicans kujiondoa kwenye kinyang'anyiro ikiwemo watu maarufu ndani ya chama chake na vyombo vya habari, Donald Trump...
Kwa mujibu wa kituo cha tv NTV Kenya gwiji la R&B atalipwa jumla ya ksh 90,000,000 dakika 90 atakazo tumbuiza mashabiki Mombasa.
According to NTV Kenya, the singer gets paid KSh 1,000, 000 per...
Urusi imepeleka mtambo wa kuzuia makombora na ndege unaoitwa SA-23 huko Syria . SA-23 ni toleo jipya la S-300VM ambalo limeboreshwa zaidi ili kuendana na hali ya sasa ya kivita huko Syria ...
Jimbo la Alabama, nchini Marekani, limemwondoa kazini jaji mkuu aliyekaidi uamuzi wa mahakama ya juu kuhusu ndoa za jinsia moja.
Ray Moore aliagiza kwamba wapenzi wa jinsia moja wanyimwe vyeti...
Putin asitisha mkataba wa nyuklia kati ya Urusi na Marekani
Makombora ya Topol RS-12M yakiwa nje ya Moscow, 2008
Plutonium hutumiwa kutengeneza makombora ya nyuklia kama haya ya Topol...
Mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Chris Brown, aliwasili jijini Mombasa na kujikuta akizua gumzo baada ya kuitupa chini na kuivunja simu ya kiganjani ya shabiki mmoja.
Tukio hilo...
Mgombea urais wa chama cha Republican Marekani, Donald Trump, ameomba msamaha kwa matamshi machafu aliyotoa kuhusu wanawake katika kanda ya video iliyozuka ya miaka 11 iliopita.
Katika kanda...
Hawa ni mahasimu wakubwa wa kivita baina ya nchi zao yaani palestina na Israeli hapa walikutana kwenye moja ya tukio kubwa la msiba wa aliyewahi kuwa Waziri mkuu na Rais wa Israeli ndugu Shimon...
Anasema Maazimio ya UN hayana Maana Yoyote, Mbona MAREKANI, imeivamia IRAQ, AGHFANISTAN na LIBYA, kinyume na Maazimio ya UMOJA WA MATAIFA. Hilo nikatika kuonyesha Msimamo wa URUSI, juu ya watu wa...
Russian warships have launched a total of 26 cruise missiles at Islamic State facilities, destroying all targets.
Russian warships have attacked Islamic State targets in Syria, Russian Defense...
Kama kuna dikteta anayependwa na kusifiwa basi ni Fidel Castro, Madikteta wote Duniani huchukiwa na kukejeliwa kuanzia Hitler, Stalin mpaka Kim wa Korea Kaskazini lkn siyo Castro, leo hii...
China-Russia alliance challenges US-Western domina
Analysts see budding ‘bromance' between Vladimir Putin, Xi Jinping
Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinping...
Mgombea wa Urais wa Marekani, Donald Trump ameingia matatani kwa mara nyingine tena baada ya kusambaa kwa video ya mwaka 2005 ambayo anasikika akiongea maneno makali ya jinsi anavyowachezea...
Rais wa Marekani Barrack Obama ametangaza hali ya hatari katika mji wa Florida baada ya picha za Satellite kuonyesha kimbunga Hurricane Matthew kinaelekea eneo hilo.
Vikosi vya uokoaji navyo...
Idadi ya vifo kufuatia kimbunga Matthew nchini Haiti inakaribia watu 842, kwa mujibu wa serikali.
Katika Miji asilimia 80 ya majengo yameporomoka.
Hadhi ya Kimbunga Matthew kwa mara nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.