International Forum

News and Stories from rest of the World
Rumours drug lord breaks out for 3rd time emerge NOTORIOUS drug baron El Chapo is rumoured to have escaped prison for a third time – sending social media in to a frenzy. By Tom Rawle / Published...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Deutsche Bank, Standard Chartered seen as prime candidates Bankers offer deals that would make sense if regulators allow Eight years after the financial crisis, bank bailouts are being discussed...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Habari zilizopo mpaka hivi sasa ni kwamba aliyewaua askari 5 kwa Risasi huko Texas, USA alikuwa ni vetaran ktk Afghanstani, yaani alikuwa ni Mwanajeshi mstaafu aliyekuwa anaitumikia nchi yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maandamano ya kupinga ukatili dhidi ya watu weusi yameendelea kwenye mji wa Atlanta. Maandamano haya yameanza siku chache baada ya mauaji ya watu wawili weusi yaliotekelezwa na polisi.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hili jambo limekuwa likinitatiza na kwamba nashindwa kuelewa ni kwa nini hasa hivi vita vimepewa namba? Ni kwa nini wanaita Vita ya Kwanza na Pili? Kwa maana kwangu mimi kama ukisema hii ni Vita...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia matamko ya mabalozi wa Marekani na Ulaya kuhusu nchi za Africa mashariki hasa Tanzania na kugundua yafuatayo Wamekuwa wakitoa taarifa kwa msukumo fulani bila ya kujiridhisha...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Dallas police shooting: Five officers killed, seven wounded by gunmen - Dallas police shooting: Five officers killed, seven wounded by gunmen - BBC News
0 Reactions
0 Replies
771 Views
TRAVELJULY 8, 2016The Bahamas issues travel advisory on the United StatesThe Bahamian Government has warned its young male citizens to avoid protests, and to be compliant with American law...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Hii ni picha chini ya Gorilla au Sokwe aliyejulikana kwa jina ,,Bantu" huko nchini Mexiko amefariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo! Hahaha Wazungu bhana yaani katika majina yooote wameamua kumpa huyu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Baada ya sikuku ya wenzetu waislam nimekuwa nikifirkia hichi kitu kwa muda mrefu... Hivi kuna faida gani kwa nchi zetu za Africa kuwa wanachama kwenye UN?Matatizo mengi tuliyonayo Africa...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Since its commercial introduction in 2007, the Airbus A380 has brought a long-lost sense of glamour back to travel. Its first-class cabins feature private showers and buttery leather armchairs. It...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wengi walikuwa wakisafiri baada ya mwisho wa mfungo wa Ramadhan Watu 12 wamefariki nchini Indonesia kutokana na foleni ya magari iliyosababisha mamilioni ya watu kukwama barabarani siku kadha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hawa jamaa wagumu balaa
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Pound Overtakes Argentine Peso to Become 2016’s Worst Performer Marianna Duarte De Aragao aragaomarianna July 8, 2016 — 12:51 PM AST Updated on July 8, 2016 — 6:58 PM AST British Pound Stops...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Europe's banks have been a focal point of investor skittishness since Britons voted to leave the European Union, but reasons to be worried about financial firms pre-date the referendum. Whether...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Hili wimbi la kufanyia vitendo vya chuki na kuuwa watu weusi linaendelea, kutoka India, hadi Marekani na sasa Italia Polisi nchini Italia wamemtia mbaroni mwanamme mmoja anayeshukiwa kumpiga...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna duru zinadai.kuwa israel ilihusika kwa namna zote katika mashambulizi ya kigaidi yalotokea madina
1 Reactions
81 Replies
8K Views
Mamia ya watu watavua nguo zao na kupigwa picha wakiwa tupu kusherehekea utamaduni katika mji wa Hull, Uingereza. Tukio hilo litakuwa la kusherehekea mji huo kama Mji wa Utamaduni. Washiriki...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Hatimaye Tume ya Uchunguzi chini ya Sir John Chilcot, imemtia hatiani Tony Blair kwa kuliiingiza vitani taifa la Uingereza kwa misingi hafifu na ya uongo. Chilcot Report imesema 1 Hakukuwa na...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mameya wawili wa zamani wa Rwanda wamehukumiwa kifungo cha maisha jela mjini Paris kutokana na kuhusika kwao na mauaji ya kimbari yaliyotekelezwa mwaka 1994. Octavio Ngenzi na Tito Barahira...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom