Wadau hamjamboni nyote?
Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa
Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema...
Moderator tafadhali rekebisha kichwa cha habari pale mwishoni kisomeke ndani ya hotel inayomilikiwa, kuendeshwa na kulindwa vikali na Jeshi la Iran
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo ndiyo...
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.
Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah...
Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha
Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi nchini Nigeria katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria...
Wadau hamjamboni nyote
Ama kweli IDF na Mossad wako kazini na hawatanii linapokuja suala la kuwasaka Viongozi wa magaidi ya Hamas na Hezbollah.
Shambulizi moja tu chini ya ardhi laua magaidi 5...
Burundi imetangaza kuufunga mpaka wake na Rwanda ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kuituhumu Nchi hiyo jirani yake kuunga mkono Waasi waliofanya mashambulizi kwenye ardhi yake.Mtandao wa DW...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaaa! Mawaziri Israel wapigwa marufuku kutumia simu za kawaida za smart phone
Serikali ya Israel imepiga marufuku mawaziri wake kutumia simu za kawaida za smart...
Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano
Maelezo ya picha,Waandamanaji wanapinga gharama ya juu ya maisha na kile wanachosema ni "utawala mbaya"
Mamilioni...
Kawahishwa kwa mabikira....
The scene of an Israeli drone strike near the town of Shaat, in Lebanon's Baalbek district, July 6, 2024. (Social media; used in accordance with Clause 27a of the...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za muda mfupi uliopita
Gaidi mwingine wa Hezbollah ameuawa kwa drone ya IDF baada ya kuongoza kurusha maroketi ya kadhaa kuelekea kaskazini mwa Israel.
Hata...
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati .
Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya...
Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12...
Mtandao wa Reuters umeripoti Watu watatu kufariki katika maandamano yaliyofanyika Agosti 1, 2024 kwa ajili ya kupinga Utawala Mbovu wa Rais Bola Tinubu.
Waandamanaji nchini huko wamelazimika...
Naam wakuu, karibia kila idara inaiogopa Israel, hata hapa JamiiForums kuna member alipost uzi akiomba ushauri Jinsi ya kukabiliana au kukomesha udhalimu wa Israel dhidi ya majirani zake. Uzi...
Kitendo cha Israel Kumuua Haniya akiwa nchini Iran kwa shambulizi ambalo hata Iran wenyewe hawajui limefanyikaje, kuwapiga wahouth na kulipua maghala yao ya mafuta na kupiga na Lebanon kwa wakati...
Viongozi wa Iran wanakutana na washirika wao kutoka Palestina, Lebanon, Iraq na Yemen kujadiliana uwezekano wa kulipiza kisasi kufuatia mauaji ya kiongozi mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh, aliyekuwa...
Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo.
Irani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.