Wakuu mnijuze.
Wamewahi uwepo mabilionea wengi Dunia I. Wakina Bil Gate, Carlos Slim, Warren Buffet, Suleiman maana wa Daudi etc
Ninachoshangaa huyu jamaa wanakuwa na ushawishi karibu katika...
Iran wanaposema Wataisimamisha Dunia wanamaanisha nini?
Iran wanaposema "wale wote wanaofikiri mauwaji ya Ismael Haniyeh ni Ushindi wa Kivita Wanajidanganya" wanamaanisha nini?
Niishie hapo 🐼
Rwanda imefanikiwa kuishawishi Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kupenyeza sherehe zake za kumbukizi ya Mauaji ya Halaiki Kwa Watutsi na kuwa siku rasmi ya Jumuiya.
Inasikitisha ikiwa Wanachama...
Katika kile kinachodhaniwa ni kujibu mapigo ya shambulizi katika milima ya Golan wikiendi iliyopita Israel iliyopelekea vifo vya vijana 12, ambapo Hezbollah ilikana kuhusika, leo jioni Jeshi la...
F-16 fighter jets land in Ukraine to bolster defence against Russia
The F-16s have been on Ukraine’s wish list for a long time because of their destructive power and global availability.
Four...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini
Mungu ibariki taifa teule la Israel
Netanyahu visits site of deadly Majdal Shams attack, vows ‘harsh response’
Prime Minister Benjamin...
Kichapo kinaendelea, Israel yamuua MOHAMED DEIF. Huyu bwana ndio yule alosifiwa siku Kadhaa humu JF na wale jamaa!
=============
JERUSALEM (AP) — The Israeli military said Thursday that it has...
Takriban watu 30 wamefariki dunia na wengine 100 kujeruhiwa baada ya Treni kuacha njia kusini mwa Pakistan, msemaji wa polisi amethibitisha.
Mabehewa kadhaa ya Hazara Express yalipinduka karibu...
Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi...
Like Hillary Clinton, Like Kamala Harris: Opinion Polls are Unrealistic
In American politics, few tools are as widely discussed and scrutinized as opinion polls. These surveys, intended to gauge...
HOSNI MUBARAK
- President of Egypt between 1981 and 2011
- Resigned in Arab Spring's Egyptian Revolution of 2011
- Was put on trial
- Former Vice President and Air Force commander
- Dead at...
Watu wameanza kuondoka kwenye majengo marefu!!
Barabara zimekua nyeupe kabisa watu wapo mashimoni
Yajayo yanasikitisha
Kichapo kitakachoshuka hapo Telaviv itabaki kuwa kwenye rekodi...
Mashirika ya ndege ya Marekani yamekatisha safari za kwenda Israel kwa kuhofia kipigo toka Iran
⚡️🇮🇱🇺🇸 Airlines are canceling flights to Israel
Starting tomorrow, United Airlines and Delta...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete Mashariki ya kati
Taarifa kamili hapo chini
United, Delta, British Airways said to cancel Israel flights amid soaring tensions
Major American and British...
Waisrael hawashindwi kitu wakiamua. Kama wameweza kumuulia kamanda wa hamas hukohulo iran itashindikana vipi kusema kwamba wao ndo waliangusha helkopter kwa technologia kubwa waliyonayo.
Jamani...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali siyo shwari kabisa kwa magaidi duniani kote kwani mayahudi wameamua kutembeza kichapo kila kona
Hakuna sehemu salama kwa gaidi yeyote ndani ya sayari yetu ya dunia...
It is just a rumors bado haijawahi comfirmed ila ndo habari iliyonifikia muda huu kama Breaking news
#BREAKING: Reports claim another high-ranking IRGC official has been assassinated in Syria.
Wanakumbi.
BREAKING: TAARIFA RASMI YEMENI HOUTHI
"Adui wa Israeli walianzisha uchokozi wa kikatili dhidi ya Gavana wa Hodeidah, wakilenga na uvamizi mara kadhaa kwenye kituo cha umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.