International Forum

News and Stories from rest of the World
Wadau hamjamboni nyote? Baada ya kuona kuwa Israel haitanii sasa uongozi wa magaidi hatari wa Hezbollah umeanza kuhamisha silaha zake za hatari ikiwemo makombora huku ikijiandaa kukabiliana...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Vikundi vya kigaidi kama Hamas hutumia raia wa kawaida kina mama na watoto kuwa ngao ili kuipa Israel wakati mgumu kwenye mashambulizi tofauti na wao wakipata hata nafasi ndogo ya kuingia Israel...
5 Reactions
5 Replies
571 Views
Venezuela Descending into Chaos After "Sham" Election; Troops Firing on Protesting Voters! JULY 30, 2024 The country of Venezuela is descending into violent chaos this morning, with citizens...
0 Reactions
8 Replies
562 Views
Jaji wa Mahakama Kuu, Abena Afia Serwaa, amekubali ombi la polisi la kuzuia maandamano ya vijana yaliyopangwa kufanyika kati ya Julai 31 na Agosti 6, 2024, kutokana na uhaba wa maafisa wa polisi...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo...
2 Reactions
7 Replies
522 Views
Wanaukumbi. Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii. Kumbuka Iran...
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Ripoti ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI), imeinesha Nchi 5 tu (Marekani, Russia, Ufaransa, China na Ujerumani) zimechangia 76% ya Usambazaji wa Silaha za Kivita...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari, Jamani tukazane kuhimiza mabadiliko ya kielimu Nchi kama Nigeria, Cameroon mtu kuwa na PhD tatu au nne ni kitu cha kawaida mnoo, alafu yuko ametulia mahali tu'' - @SamsonChazz
1 Reactions
8 Replies
407 Views
kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania...
13 Reactions
38 Replies
1K Views
it was very morning in the E.A.T when the world got pulsed after hearing that the head of Hamas being eliminated by assassination attack in the soil Iran. This act has brought attention to the...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
President Biden Announces Bold Plan to Reform the Supreme Court and Ensure No President Is Above the Law From his first day in office—and every day since then—President Biden has taken action to...
0 Reactions
4 Replies
920 Views
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Unajua kwanini North Korea ipo imara na dola yao haijatetereshwa North Korea ni taifa ambalo halina utamaduni wa west au far east ni miongoni mwa mataifa machache ambayo hayana Abrahamic...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas. Maelezo...
17 Reactions
197 Replies
6K Views
Ni wazi kuwa kitisho cha kupigana na Hizbullah ana kwa ana upande wa Israel wamekiona na wameamua waufyate tu. Inavyoonekana Hizbullah hawajafikiria kwamba vita bado havijaanza rasmi na ndio...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Nini maana ya electoral college? Uchaguzi wa USA upo kidogo tofauti. Wingi wa kura kuna muda hautoi ushindi kwa mgombea. Mfano ni Hillary Clinton alipata kura nyingi kuliko Trump, lakini Trump...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Majdal Shams ni wapi? Majdal Shams iko katika eneo la Golan Heights, uwanda wa miamba kusini magharibi mwa Syria wenye umuhimu mkubwa wa kimkakati, ambao ulikaliwa na Israel wakati wa vita vya...
2 Reactions
18 Replies
765 Views
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na...
10 Reactions
32 Replies
1K Views
Wanaukumbi. BREAKING: JE ISRAEL ILIWAUA RAIA WAKE? RIPOTI ZINAZOELEKEA ILIKUWA KOMBORA LA IRON DOME INTERCEPTOR Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa zaidi ya watu 50 wamefariki na...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Back
Top Bottom