International Forum

News and Stories from rest of the World
27 July 2024 London, Uingereza MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024 Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua. Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Rais huko Venezuela uko katika hali tete baada ya matokeo yaliyosambaa kutoka katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura kuonyesha Rais wa nchi hiyo Nicalas Maduro kushindwa kwa...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Kufuatia matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais wa Venezuela Nicolas Maduro maelfu ya wananchi wameyapinga na kuzua vurugu katika jiji la Caracas. Hasira za umma ziliongezeka baada ya baraza...
0 Reactions
2 Replies
303 Views
SINGAPORE 4th PM Singapore has chosen its 4th PM. After 4 years of strict, tedious filtering & performance index review applied on 4 outstanding candidates. Finally, Mr. Lawrence Wong was chosen...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Jumatatu liliandaa mdahalo kuhusu "Fursa Ulimwenguni katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya" jijini Nairobi, nchini Kenya ili kuashiria hitimisho...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Jumatatu liliandaa mdahalo kuhusu "Fursa Ulimwenguni katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya" jijini Nairobi, nchini Kenya ili kuashiria hitimisho...
1 Reactions
0 Replies
156 Views
C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa. Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga...
16 Reactions
50 Replies
3K Views
Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
2 Reactions
17 Replies
576 Views
Katika kile kinachoonekana ni kuchukizwa na kudhalilishwa kwa Yesu katika Ufunguzi wa Olimpiki huko Ufaransa Iran imelaani kitendo hicho na kumuita balozi wa Ufaransa Hii imefuatiwa na nchi...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE), Elvis Amoroso - ambaye ni Mshirika wa karibu wa Maduro amesema kwa 80% ya kura zilizohesabiwa, Rais Maduro alikuwa na 51.20% Mpinzani wake Mkuu...
0 Reactions
4 Replies
979 Views
Wayahudi 11 wanaripotiwa kufariki dunia katika shambulio lililofanyika katika milima ya Golan. Hezbollah wamekiri kuhusika katika shambulio hilo.Wayahudi wameapa kulipa kisasi! Allah vs Yahweh...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu...
34 Reactions
164 Replies
9K Views
26 Jully 2024 Mpumalanga, South Africa https://m.youtube.com/watch?v=ShyPIO7q3Yk ARE WE REALLY SAFE AS SOUTH AFRICANS?FOREIGN NATIONALS OCCUPYING OUR MILITARY DEPOTS ILLEGALLYWAS EVEN OUR...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Tangu vita vya Gaza vianze zaidi ya miezi 9 iliyopita Israel ilipata msaada mkubwa kutoka Marekani na Uiengereza kuwazuia wapiganaji wa Houth ambao wameapa kuwaunga mkono wapalestina kwa kuelekeza...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Huyu ni Hassanal Bolkiah Kiongozi Mkuu wa Brunei (Sultan) Tangu Mwaka 1967. Ni Mmoja wa Matajiri Wakubwa Duniani. Shamba la Mifugo Analolimiliki Huko Australia ni Kubwa Sana Zaidi ya Ukubwa wa...
0 Reactions
12 Replies
725 Views
Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta...
12 Reactions
101 Replies
4K Views
Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato. Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
14 Reactions
97 Replies
6K Views
Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi. Akizungumza...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom