Ndugu jamaa na marafiki nadhani nyie nyote ni mashaidi ya kwamba Dunia hii si salama tena, migogoro ni mingi sana katika hii Dunia, na hii migogoro kwa kiasi kikubwa inasababishwa na ubinafsi...
Russia imeshambulia kwa Kombora la Iskender ghala lilokuwa linatumika kama maficho ya Wanamgambo Ukraine na Magaidi 40 wa NATO waliokua wakitoa mafunzo huko Kharkov..
🚨🇷🇺🇺🇦A successful Russian...
Wadau hamjamboni nyote?
Tuwaombee ndugu zetu wa taifa teule la Mungu dhidi ya mkono wa ibilisi anayekusudia kuwaangamiza.
Tunaamini taifa teule la Mungu litaendelea kudumu likiwa na baraka tele...
Msafara unasemekana ni mkubwa kuliko ukiwa na maafisa 67 na wachezaji 7 tu! Msafara wenyewe unaongozwa na makamu wa Rais pamoja mke wake! Waafrika weusi akili zetu tunazijua wenyewe.
Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa...
US President Joe Biden has told Americans in a televised address that he decided to end his faltering re-election campaign in a bid to save US democracy.
Mr Biden, 81, said he felt his record as...
Haya wametema ukweli wao ISIS wametangaza vita Rasmi na Hamasi.
Tukiwambia wakristo hao ISIS ni mafunzo ya kikristo na kiyahudi mnabisha, jioneni sasa wameona Israel kazidiwa wameamua kutangaza...
Kitendo cha Israel kuivamia lebanon utakua ndo mwisho wa hilo taifa.......Linaweza likafutwa kabisa au kunyong'onyea kabisa likabaki dhaifu kabisa milele.
Ni kwa muda mrefu wananchi wa Lebanon...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa mbaya ya kuhuzunisha kutokea Kigali Rwanda
Pitia taarifa kamili hapo chini;-
Last independent journalist in Rwanda, Ntwali John Williams has been eliminated. On...
Dkt. Jeanne d'Arc Mujawamariya asimamishwa katika majukumu yake akisubiri uchunguzi kuhusu masuala ya Uwajibikaji kumalizika
Julai 25, 2024, waziri atafikishwa mbele ya bunge kujibu masuala...
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo analihutubia bunge la pamoja la Marekani (House of Representatives na Senate), nusu wabunge na maseneta kutoka chama cha Democrats wamesusia na...
https://youtu.be/CZqDspnuYSk?si=UMrMe0lG0O0PZovA
https://www.youtube.com/live/x0IhM-veJIM?si=tkwDLfxodgRbbTWe
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani, Kimberly Cheatle, alikabiliwa na ukosoaji...
Raisi wa Ukraine [emoji1255] V. Zelensky katika mahojiano na BBC kuhusu vita baina yake na Russia amejikuta akitaka kutokwa na machozi pale alipobananishwa na mwandishi wa habari baada ya kutakwa...
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za...
Mahakama katika Umoja wa Falme za Kiarabu imewapa raia 57 wa Bangladesh kifungo cha muda mrefu kwa kufanya maandamano katika jimbo la Ghuba dhidi ya serikali ya nchi yao.
Washtakiwa watatu kati...
Salaam, najiuliza hawa mfano IDF huwa wanajuaje Millitary target zao sababu hayo ni maeneo ya siri, mfano wamepiga vitu kibao Yemen wanajuaje latitude hii au longtide hii kuna ghala la silaha au...
"It doesn't matter who they put at the top of the ticket," Johnson said. "If Kamala is the nominee, so be it. She is the co-author and the co-owner of the policies of the Biden administration, and...
U.S Mkurugenzi wa Huduma ya Ulinzi wa Viongozi (Secret Service) Kimberly Cheatle amejiuzulu baada ya shinikizo kutoka kwa wabunge kumtaka ajiuzulu kufuatia kushindwa kudhibiti shambulio la jaribio...
Wakazi wa Kijiji cha Lincolnshire nchini Uingereza wameanza kupokea maandalizi ya tamasha la ngono litakalofanyika katika makazi ya kijiji hiko.
Wageni mbalimbali kutoka pembe za dunia wameanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.