Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA
Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk.
Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza...
Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo...
Bila ya kujali vikwazo vya marekani na washirika wake dhidi ya Urusi, taifa hilo lililopo barani Asia lenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi limetangaza uamuzi wake wa kununua nishati ya mafuta...
Wanaukumbi.
⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️
𝐘𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐰𝐚𝐫𝐧𝐬 𝐈𝐭𝐚𝐥𝐲 𝐟𝐨𝐫 𝐭𝐡𝐬𝐞 𝐞…
Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.
Ndege za Italia...
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura...
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.
Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio...
Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la...
Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha huko Paris masaa machache kabla ya michezo ya Olympic kuanza
Saa chache kabla ya hafla ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris, kampuni ya reli ya Ufaransa...
25 July 2024
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Bw. Merrick B. Garland Atoa Taarifa kuhusu Kukamatwa kwa Viongozi Wanaodaiwa wa Kundi la Sinaloa Bw. Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Bw...
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji...
Dunia itaendelelea kuwa sehemu ambayo si salamu kwa watu kuishi kwa utulivu muda wote ambao Marekani na Israel zitaendelea kuwa washirika wa karibu.
Hivi karibuni kulifanyika jaribio la kumuua...
Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama...
Greetings....
I can completely empathise with many of my Christian friends and family who are extremely uncomfortable with what they saw at the Opening Ceremony in Paris last night.
The use of...
Katika hali ya kushangaza, tume ya Ulaya (European commission)- ambayo moja ya majukumu yake makuu ni kutatua changamoto baina ya nchi wanachama wa umoja wa ulaya (EU), imekataa ombi la...
Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha.
Kulingana na ripoti...
Kamala Harris is not even a natural-born citizen BY HIGHLY PURPOSEFUL DESIGN
KAMALA HAS A BIRTHER PROBLEM
Before AIMCat Christopher Strunk deceased, he prepared legal filings with the state of...
Nafuatilia kwa ukaribu zaidi diplomatic moves zinazofanywa na nchi ya China hapo middle east.
Kwa kipindi cha muda mfupi wameweza kukutanisha mataifa yaliyokuwa hayapatani kwa muda mrefu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.