Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel...
Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi...
Sekunde kabla risasi haijafyatuliwa Trump aligeuza kichwa kuangalia kulia, Risasi iliyolengwa kupenya ndani ya kichwa chake ikamkwaruza sikio, Chupu chupu.
PIA SOMA
- Marekani: Donald Trump...
Joe Biden aliongea na Waandishi wa Habari baada ya Kikao cha NATO ambapo akijibu swali alimtaja Makamu wa Rais wake, Kamala Harris kama "Makamu wa Rais Trump"
Hii ni Saa Moja tuu baada ya...
Wanaukumbi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini."...
Mwanahabari mmoja wa Italia aitwaye Giulia Cortese ameagizwa kumlipa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Giorgia Meloni fidia ya €5,000 (£4,210) kutokana na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayodhihaki...
Eilat na Tel Aviv Inashambuliwa na drone na missile mpaka sasa haijulikani zimetoka wapi na Air defense za Israel zimelala usingizi wa pono 😁😁😁
⚡️BREAKING: Reports of the Iron Dome's failure to...
Wanaukumbi.
MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili
Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine...
Hii ni rekodi ya pekee kwa Marekani na ninafikiri wale wanaojihusisha na majaribio ya kutaka kuwaua marais wa Marekani wanaweza kujifunza kitu. Kwamba uwezekano wa kukamatwa au kuuwawa hapo hapo...
Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi...
Rais wa Marekani mwenye umri mkubwa zaidi katika historia, Joe Biden, hivi karibuni amejiondoa katika kinyang’anyiro cha ugombea Urais nchini humo
Amejiondoa kutoka na umri na matatizo ya kiafya...
Niaje waungwana
Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na...
Niaje waungwana,
Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda...
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia...
Joe Bide mwenye umri wa miaka 81, alijikanyaga wakati wa mahojiano jana 4/7/2024 Alhamisi na WURD ya Philadelphia, akionekana kujichanganya na Makamu wake Kamala Harris.
'.... hata hivyo...
No Biden, Bush or Clinton on presidential tickets for first time since 1976
The three familiar last names in US politics have been candidates for president or vice president in every presidential...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Jeshi la Yemen "Houthis":
Tunatangaza eneo la Yafa "Tel Aviv" kama eneo lisilo salama na litakuwa lengo kuu ndani ya anuwai ya silaha zetu.
Shambulio la ndege zisizo na...
As President Biden has just endorsed her for President, here are 14 key things to know about her.
1- Historic Vice President: First female, Black, and South Asian Vice President.
2- Legal...
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi
Mwanadamu...
Wakati matumizi ya mtandao barani Afrika bado ni ya chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia, hatua kubwa zimepigwa katika miaka ya hivi karibuni.
Mtandao sasa ni sehemu muhimu ya maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.