Shuhuda huyo alitoa taarifa kwa polisi na Secret Service kuhusu shooter aliyekuwa amejificha juu ya paa akiwa na silaha.
Mahali ambapo shooter alikuwa juu ya paa na Trump alipokuwa akifanyia...
Rais William Ruto wa Kenya hivi majuzi ameutuhumu Mfuko wa Ford Foundation wa Marekani kwa kuchochea maandamano na ghasia dhidi ya serikali nchini humo, ambayo yanaendelea kuwa mabaya zaidi...
Dollar-Goodbye:
Japani ni moja ya nchi zilizokubali kupiga magoti na kuamua kuendelea kufanya biashara na Urusi. Mambo yanazidi kuwa matamu, Urusi imelipa gawio kutoka kwa miradi yake ya maendeleo...
Yuan ya Uchina imesaidia kufadhili mashine ya biashara na vita ya Urusi - lakini siku hizo zinaweza kuwa zinaelekea ukingoni.
Vikwazo vya Nchi za Magharibi vimeifungia Urusi nje ya mfumo mkuu wa...
Xi Jinping, Rais wa China akiwa ziarani nchini Urusi wiki hii mambo kadhaa yameibuka, kubwa zaidi ni Putin kupendekeza kwa Xi matumizi ya sarafu ya China ya Yuan badala ya dola ya Marekani(japo...
Rais wa zamani wa Marekani, ambaye pia ni mgombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu nchini humo, Donald Trump, hivi karibuni alipigwa risasi na kujeruhiwa huko...
Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.
Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa...
Hili jambo halipaswi kufumbiwa macho na wapenda amani duniani kote. Wote tumesikia kuwa waliookuwa nyuma ya shambulio la kumuua rais mstaafu na mgombea urais wa Marekani D Trump ni serikali ya...
Rais wa Marekani, Joe Biden (81) yuko karantini kwa muda baada ya kupimwa na kugundulika kuwa na ugonjwa wa UVIKO-19, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Marekani, White House.
Ugonjwa huo...
Hatupaswi kulipa Uingereza kwa mkataba uliovunjwa - Rwanda
Rwanda imesema haitakiwi kuirudishia Uingereza pesa baada ya makubaliano ya mamilioni ya pauni ya wahamiaji kati ya nchi hizo mbili...
Kutupeleka Rwanda haukutuzuia kufika Ulaya
Maelezo ya picha,Bahabelom Mengesha, ambaye kwa sasa anaishi Zurich, alipelekwa Rwanda na Israel mwaka 2014
Huku Uingereza ikiendelea na mpango wake...
Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili.
Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana...
Sina maelezo lakini nimecheka sana 😂😂😂
===
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Sudan Kusini Mh. Mabior Garang De Mabior ambaye ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Sudan Kusini na kiongozi wa zamani wa...
Kuna nchi zina shida humu duniani jamani, mfano Hait.
1. Kwa jinsi intelijensia ilivyo kali ya US, je, kwa nini washindwe kudhibiti usafirishaji wa silaha kutoka US kwenda kuchafua hali ya hewa...
Mimi Kama mtu mwingine tu mwenye interest na mambo ya usalama nawaza mengi kwenye shambulio la Trump..
Secret service kazi yao ya kwanza wakiwa na 'target' ni kuassess threat...
Hapo secret...
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump...
Mmoja ana miaka 84 na mwingine 72. Ila afya zao zinafanana. Kimwili na kiakili. Biden tumeshudia akianguka mara kwa mara kwa kukosa stamina ya mwili. Tumemsikia mara kadhaa akiongea kwa...
Serikali ya Iran imekanusha madai ya Idara za Usalama za Marekani kuwa nchi hiyo ilihusika na jaribio la mauaji dhidi ya Rais wa zamani na Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.