Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza, Keir Starmer, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi ya Rish Sunak, ameahidi kutotimiza mpango wa kuwapeleka nchini Rwanda Wahamiaji haramu.
Ikumbukwe Wahamiaji hawa...
The Kyiv Post has published exclusive footage revealing Ukrainian special forces, alongside Syrian opposition fighters, conducting attacks on Russian military positions in the Golan Heights region...
Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu;
"Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe...
Safari ya kwanza ya kimbunga ya David Lammy kama waziri wa mambo ya nje wa Uingereza, iliyoandaliwa kwa taarifa fupi sana, haihusu matokeo ya papo hapo au hata upeo mpya wa ujasiri.
Yote ni...
Uiengereza miaka hii inabadili viongozi kila baada ya miezi michache na mara nyengine miaka.Imekuwa kama Somalia.Sijui wamepatwa na nini au ni laana ya kudhulumu uchumi wa waafrika kwa muda mrefu...
Rais Kagame mpenda dili na mabeberu kupiga hela amepata pigo baada ya mpango wake kuleta wakimbizi wanaotaka kuingia Uingereza kuzuiliwa Rwanda kupata pigo kwa washirika wake Conservative Party...
USA🇺🇸 anazidi kupaa tu kila mwaka.
Russia hayupo tena top 10.
Putin anapotea Maxima
Kwa hiyo gap, China apambane Sana, alafu ana population kubwa, 1.4 billion, mwenzie familia ndogo.
Labda...
Utabiri baada ya kura kupigwa nchini Uingereza unaonesha kuwa chama cha Labour kimeibuka na ushindi wa kishindo, huku kiongozi wake, Keir Starmer akielekea kuchukuwa nafasi ya Rishi Sunak kama...
Askofu Mkuu wa Italia Carlo Maria Viganò, aliyekuwa balozi wa kipapa nchini Marekani ambaye aligeuka kuwa mkosoaji wa kihafidhina wa Papa Francis, amefukuzwa kutoka kanisa kwa ajili ya kuzua...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Vincent Biruta baada ya kutia saini mkataba mpya huko Kigali Desemba 5, 2023. Picha na Ben...
Waziri Mkuu wa Israel amewaambia wanahabari kuwa baada ya mafanikio makubwa Gaza hasa eneo la mwisho la Rafaa yanabadili upepo na sasa wanahamishia vikosi mpakani mwa Lebanon kupambana na Hizbolah...
Nimeona na kusikia mpango wa mazungumzo ya kuachiwa kwa mateka wanne wa israel wanaoshikiliwa na Hamas. Nimeshangaa sana.
1. Hamas wanafanya njni na hawa watu ambao hawana maana yoyote kwao? Na...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Ningependa kujuwa na kuuliza wajuvi wa mambo mbali mbali kwenye hili jukwaa kama kuna uwezekano wa Uingereza kurudi jumuiya ya ulaya European union baada ya ushindi...
Kuna maswali mengi sana kuhusu mgogoro wa nchi hii ya Israel na mamlaka ya bandari ya Palestine
Palestine ndiyo wa kwanza kuvamia Israel, bila shaka hawa ndio walikuwa na malengo mahususi dhidi...
Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi...
Sir Keir Starmer atakuwa waziri mkuu ajaye wa Uingereza baada ya Rishi Sunak kukubali kushindwa katika kukabiliana na chama cha Labour.
Waziri Mkuu Sunak alisema wapiga kura wametoa "uamuzi wa...
Niliposikia Urusi akisema kuwa atawawezesha maadui wa marekani kwa silaha kama NATO wanavoisaidia Ukraine sikuelewa vizuri maana yake.
Leo hii jarida la Newsweek la marekani pamoja na vyombo...
Ni kuhusu OpenAI. Karibuni hapa imetangaza kwamba developers wa China hawataweza kutumia API zao kutengeneza products.
Ikumbukwe kwamba nchi hizi mbili zipo kwenye vita ya kiuchumi na...
Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini...
Katibu mkuu wa jumuiya ya kiarabu mwishoni mwa wiki hii ameitembelea Lebanon na kukutana na kiongozi wa chama kinachoiwakilisha Hizbullah katika serikali ya Lebanon
Bwana Hossam Zaki baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.