Maandamano makubwa ya mashoga yafanyika Ukraine wanajeshi wa Ukraine washiriki kikamilifu (LGBTQ parade in Kiev Ukraine)
Sasa ndo naelewa kwanini mashoga wengi wanamchukia Putin na mashoga wote...
Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi....Inadaiwa ni Iran keshafanya yake.
BREAKING
3 Israelis died in a car explosion in...
Habari ya Jumapili wanajanvi
Nimekuwa nafuatilia sana mapigano ya Urusi na Ukraine
Kadri Mataifa makubwa yanavyoisaidia Ukraine kivita,
ndivyo itakavyochukua muda mrefu zaidi kwa Russia kuchukua...
"In the West, the prevailing narrative is that Russia initiated the war with its special military operation and is therefore the aggressor, so it is allowed to attack the Russian territory using...
As Rishi Sunak and Keir Starmer faced their first head-to-head debate of the election campaign, all eyes were on how they would perform.
But cybersecurity experts at Cardiff University working...
Ni lazima imekuwa hivyo.
ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza.
In fact, the EFF has shown...
Wanyarwanda wana Kila sababu ya kujivuna Kwa maendeleo na amani walionayo leo. Ni kanchi kadogo kalikopitia machungu ya mauaji ya wenyewe Kwa wenyewe ila leo kamesimama imara.
Miaka mingi iliyopita, nilijifunza Kiebrania kutokana na udadisi na kwa nia ya kupenya katika ulimwengu ambao hapo awali nilidhani ulikuwa mbaya na kupanga njama dhidi ya Waarabu na Waislamu. Mara...
Kaskazini mwa Israel pameanza kufanana na Gaza
Baada ya miji ya Kyrat Shmona na Galilaya kuchomwa na kuharibiwa na Hezbollah sasa ni zamu ya mji wa Metulla
Makombora ya Hezbollah yenye kasi...
Drone ya upelelezi ya US imepotea kwenye rada wakati ikiendelea na jukumu la Kijasusi huko bahari nyeusi. Wachunguzi wa mambo wanasema Russia ameishusha na kupeleka kusikojulikana.
#BREAKING: US...
Biashara ya mafuta inaelekea ukingoni.
Rare Earth ni madini Yanayotumika kwenye technology
Kama computer, simu, ndege, EVs, TV, bullet train nk.
Ugunduzi huu mkubwa utaua biashara ya mafuta...
Mashambulizi ya makombora ya Leo na Drone ni makubwa kuwahi kutokea tokea october 7
Israel Kaskazini hapataminiki, eneo la Sadaf na misitu yake inateketea kwa moto
Kambi za jeshi zote za...
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
mwezi wa 10 last yeakr niliingia south Africa. Ila February nikarud bongo nilifanikiwa kutembelea mikoai karibu yote
South Africa kimaendeleo imezidi nchi nyingi sana za ulaya ,Asia ,na america...
Kinachoendelea Gaza kimetoa picha kwa kila mwenye ubinadamu kuwa nchi inayoitwa Israel ni taifa la watu ambao ni wasahenzi sana.Hawasikii nasaha za binadamu wala kutii amri za mahakama.
Baada ya...
Rais Bola Tinubu wa Nigeria alijikwaa na kuanguka leo 12/6/2024 alipokuwa akipanda gari la gwaride katika Uwanja wa Eagles.
Tinubu alianguka na kujipigiza kichwa wakati wa maadhimisho ya Siku ya...
Dalili za Chama Cha ANC kuunda serikali pamoja na DA zimethibitishwa rasmi. Ni pale ambapo kwenye uchaguzi wa Spika wa Bunge la SA DA haikuweka mgombea na hivyo Spika akatoka kwenye Chama Cha ANC...
Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la BRICS umefanyika kuanzia Juni 10 hadi 11 huko Nizhny Novgorod, nchini Russia. Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alihudhuria mkutano pamoja na Mawaziri wa...
VENEZUELA TAIFA LILOBARIKIWA MAFUTA NA GESI, LILIASISIWA NA SIMÒN BOLIVAR, LIKAJENGWA NA HUGO CHAVEZ SASA LINATEKETEA MIKONONI MWA NICOLAS MADURO.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Thursday -14/3/2019...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.