[https://abs-0]BREAKING America just lost dollar’s supremacy in global trade Saudi Arabia has decided not to sell oil in US dollar anymore Riyadh didn't renew the 50-year petro-dollar deal with...
Mapigano makali yasiyotarajiwa yametokea juzi siku ya Jumamosi maeneo yote ya Gaza,kaskazini mpaka kusini.
Katika purukushani hiyo kikosi cha Qassam kimesema kimewaua askari wengi wa Israel...
Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe.
NB: Majirani...
Vyombo vya habari vya Israel vinachambua hili kuwa hii huenda ni mauaji ya kisiasa na ya kulipa kisasi. Inadaiwa ni Iran keshafanya yake.
BREAKING
3 Israelis died in a car explosion in Ashkelon...
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Saa chache zilipita Ndege ya kusaka Nyambizi ya Uingereza (RAF Poseidon P8 anti-submarine) imeigundua Nyambizi ya Ki nyuklia ya Russia ikiwa katika pwani yake na kuzua...
Najua Watanzania Hatuna habari na bajeti ila tuko busy kuwafuatilia Dr Yahaya, Masoud Kipanya na Mwijaku
Niwape tu taarifa kwamba askari 8 wa Israel wameuawa huko Rafah Leo kwa mujibu wa Al...
Hii kitu inaitwa Bavar 373 ni balaa na nusu wakuu.
Hii walitengeneza baada ya kutokea figisu ya mabeberu kwani walipaswa kupewa mfumo wa ulinzi wa makombora wa S-300 kutoka Urusi na walikua...
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF limelaani vikali mauaji ya watoto 15 katika jimbo la Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Taarifa ya UNICEF...
Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali.
Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili...
Naam wakuu, wakati kile kifurushi Cha Dola billions 61 kutoka marekani kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine bado hakijafikisha hata miezi 2.,mataifa Saba yenye nguvu ya kiuchumi duniani...
Katika hatua ambayo imeonekana na wengi kama usaliti kwa watu wa Palestina, majenerali wa juu kutoka nchi kadhaa za Kiarabu, ikiwa ni pamoja na Bahrain, UAE, Saudi Arabia, Jordan na Misri...
Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi...
Hizi ni nchi hatari zaidi kwa watetezi wa uhai.Hunyonga mamia kwa mamia kila mwaka.
China watu zaidi ya 1000 kwa mwaka
Iran watu zaidi ya 500 kwa mwaka
Saudi Arabia watu zaidi ya 150 kwa mwaka...
C Wizara ya Usalama wa Taifa imesema Maafisa Wawili wa Jeshi (Guo na Li) waliotakiwa kuziharibu nyaraka za siri takriban 200 waliziuza katika Kiwanda cha kuchakata taka kwa chini ya Dola 4 za...
Baada ya Urusi kupeleka Nyambizi na Meli za Kivita Marekani wameingiwa na uwoga na kuamua kupeleka ndege za Kivita Miami na zinashinda hewani ziki zunguka kwa hofu 🤣🤣🤣🤣🤣
#BREAKING -🚨⚡🇺🇸 The...
Huyu Zakayo wa Kalenjin baada ya kupata mbolea ya bure kutoka wahisani wa Urusi sasa ameanza tena kuilaani Urusi!! Cheki alichokiandika[emoji1313]
Russia's aggression against Ukraine is unlawful...
Hapa itatokea moja kati ya hayo mawili.
M 23 wakishindwa kuiteka Sake na Goma,jeshi la SADC litakwenda Ikulu Kigali.
Mpaka sasa jeshi la SADC ndio lina nafasi nzuri ya kushinda. Lina uwezo...
Kuishi kwa uhasama na jirani zako au kwa kuonesha kwamba wewe ni mbabe daima kuna madhara makubwa.
Na hapa ndicho ninachopenda kukitolea taarifa kufuatia tangazo la kundi la Palestine Islamic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.