International Forum

News and Stories from rest of the World
Mahakama ya Uingereza imemhukumu mwanaume wa Kizimbabwe Guy Mukendi (39) kifungo cha miaka 4 na miezi 3 jela kwa kosa la 'kuhadaa' baada ya kutoa kondomu bila ridhaa ya mwenzake wakati wakifanya...
0 Reactions
4 Replies
606 Views
Inasemekana mpaka leo hii Nchi ya Ufaransa huvuna kila mwaka mpaka dola billioni 500 kutoka bara la Afrika kwa kutumia mbinu chafu za unyonyaji, Ugaidi(utekaji), Wizi wa waziwazi na Uharamia wa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
14 Reactions
77 Replies
2K Views
Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
22 Reactions
126 Replies
5K Views
Muungano wa vyama vya habari na mashirika ya haki za kidijitali nchini India tarehe 28 Mei walipitisha azimio likiitaka serikali kuu kufuta sheria mpya ambazo "zinakusudia kudhibiti" uhuru wa...
1 Reactions
1 Replies
212 Views
Source: Aljazeera Nb: Jana wamekufa wanajeshi 8 wa israel dhidi ya makomandoo wa Hamas, ingawa idadi hiyo haina ukweli wowote, wanaficha. Kwa yale waliyoyafanya dhidi ya Taifa linalopigania...
3 Reactions
33 Replies
904 Views
Tangu mwaka 2021ambapo kikundi cha wanamgambo wenye itikadi kali ya kiislamu cha Taliban kiliposhika hatamu nchini Afghanistan, na kuondoka kwa aibu majeshi ya Marekani yaliyokaa nchini humo kwa...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais Cyril Ramaphosa Rais Cyril Ramaphosa anarajiwa kuapishwa kama Rais wa Afrika Kusini kwa awamu yake ya pili. Kama mwanachama wa SADC mwenzetu twendeni tukashuhudie na kumpongeza. NB...
1 Reactions
13 Replies
829 Views
Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi...
18 Reactions
378 Replies
107K Views
Kinara wa upinzani wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema wakati umefika wa kuiangusha serikali ya utawala huo inayoongozwa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu. Yair Lapid...
2 Reactions
4 Replies
379 Views
Kwa muda mrefu sasa suala la maendeleo ya nchi za Afrika limekuwa ni mjadala kwenye majukwaa mengi ya kiuchumi na kisiasa duniani. Licha ya juhudi zinazofanywa na nchi za Afrika, hatua za...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Marekani wamejizatiti Sana na waki serious. Unachanganya nchi tano kubwa, bado jamaa wako juu.
4 Reactions
116 Replies
3K Views
AFRIKA KUSINI: Rais wa zamani na Kiongozi wa chama kipya cha uMkhonto weSizwe (MK), Jacob Zuma amesema chama chake kitaungana na Kambi ya Upinzani Bungeni ili kupinga Ushirikiano wa Serikali ya...
0 Reactions
2 Replies
519 Views
Tayari inefahamika kuwa Russia na China wameanza maandalizi ya ujenzi wa Kambi ya kijeshi ya kudumu katika visiwa vya Cuba ambavyo vipo umbali wa mile 90 kutoka pwani ya Marekani. Hii ni strategy...
16 Reactions
80 Replies
4K Views
Tuache ushabiki binadamu tunagombania kitu gani. Sawa tulijua hamas waliua watu 1500 ila kisasi kimezidi sana ebu wazia uko mtaani kwenu nyumba ya jirani ghorofa inadondoka vumbi lake kubwa sana...
1 Reactions
6 Replies
370 Views
Siku imekua mbaya sana kwa Israel tena leo Jamaa wameangukiwa na jengo ambalo walikua wamekaa baada ya Hamas kutega milipuko Mmoja amefariki papo hapo na majeruhi zaidi ya 30 wana hali mbaya...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Russia imetangaza mwaka huu inaanza safari za moja kwa moja toka Moscow hadi Tanzania, Kuwait, Saudi Arabia, na Indonesia ✈️ This year Russian airlines will launch direct flights to Tanzania...
24 Reactions
62 Replies
3K Views
My take! Je, Zelensky anawaza nini mpaka kuamua kuanza kushambulia Urus wakati anajua kabisa Putin alishaonya hataki Urusi ishambuliwe? Putin na Zelensky fanyeni mazungumzo hatutaki vita...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
30 Reactions
158 Replies
7K Views
Back
Top Bottom