Wanaukumbi.
BREAKING:
🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah:
"Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"
Sehemu muhimu zaidi za...
Zambia na Zibambwe wameona nao wasipitwe na amsha amsha zinazoendelea duniani kwa leo, wanataka kuliamsha, mchonganishi ni Putin, hii ni baada ya Urusi kuachia video inayomuonyesha rais wa...
My Take
Taasisi za Haki za Nchi za Kiafrika zimeanza kuoza na kuharibikiwa sio Kwa uamzi huu wa kipuuzi na kinyume na maadili na tamaduni za Mwafrika...
Dkt. Michael Usi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi katika hafla iliyofanyika katika Bunge la nchi hiyo mjini Lilongwe. Mchekeshaji huyo aliyebadilika kuwa mwanasiasa anachukua nafasi ya...
Miaka kama kumi hivi iliyopita, Russia ilikuwa member wa G8. viongozi wa Russia tulikuwa tukiwaona kwenye mikutano mikubwa ya maamuzi ya dunia.
Ghafla Mambo yamebadilika, Raisi wa Russia...
Kaka Serhiy na dada Tania walikatisha kufanya harusi yao ufukweni mwa bahari wakihofia hali mbaya ya hewa.Hata walipoingia kwenye ukumbi walikoalkwa wageni kushuhudia harusi yao bado waligundua...
Hawa watoto mtawaatapika tu, mnaendelea kuliwa, mfahamu damu ya watoto wa Wayahudi sio ya kuchezea, namba za mliouawa zinaelekea kufika 40,000
Hapakua na ulazima wa kufanya huu ujinga hata kama...
Rais wa Urusi Vladimir Putin akiwa ziarani huko Korea Kaskazini ameonekana akiwa anabishana na mtawala wa nchi hiyo Kim Jong Un maarufu kama Kiduku kuhusu nani kuwa wa kwanza kuingia kwenye gari...
Kisa cha vikosi vilivyokwenda Entebe nchini Ugana kuokoa mateka wa Israel ni maarufu sana katika historia za kishujaa ulimwenguni na kusimulia ubora wa kivita wa Israel.
Vikosi kama hivyo...
Louisiana imekuwa jimbo la kwanza nchini Marekani kutaka kila darasa la shule za serikali, kuanzia msingi hadi chuo kikuu kubandika Amri Kumi za Mungu ukutani.
Hatua hiyo iliyochochewa na chama...
AFRIKA KUSINI: Kampuni ya Huduma za Simu za Mkononi ya Vodacom imewafuta kazi Wafanyakazi 631 na Mawakala wake kutokana na Ripoti ya Utendaji ya Mwaka (2023/24) kuonesha ongezeko la Vitendo vya...
Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa.
Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha...
Taarifa katika vyombo vya habari Israel zinasema Israel inataka kupitisha sheria ya kuwataka wananchi wote wa Isarael kujiunga jeshini iliwaende vitani kwani askari wengi aidha wanaumwa au...
Ukraine imeendelea kutembea kichapo Cha haja Kwa Warusi Hadi wameishiwa silaha na Sasa wameenda Korea Kaskazini kupiga magoti wapewe Msaada na kuuziwa silaha.
Lakini Marekani iwewaonya Korea...
Breaking: Majenerali wakuu wa Jeshi la Israel wameidhinisha mpango ya vita vya kuishambulia vya Lebanon
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko middle east. Mayahudi wamechoka na uchokozi wa...
Mkutano wa kilele wa G7 umefungwa hivi karibuni huko Puglia nchini Italia. Taarifa iliyotolewa baada ya mkutano huo kwa mara nyingine tena imekashifu China katika masuala mbalimbali bila ya msingi...
Rais wa Russia Vladimir Putin amesaini amri inayoruhusu kukamata mali za Marekani, za raia wake na za kampuni zake ndani ya Russia, kama fidia kwa mali za Russia zilizoathiriwa na vikwazo vya...
A generation from now, historians may look back at Chinese President Xi Jinping’s tenure as marking a break with the past; rather than defining a “new normal” for the Chinese economy, the time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.