International Forum

News and Stories from rest of the World
Minisitiri ushinzwe ibikorwa by’ubutabazi, Maj Gen (Rtd) Albert Murasira, yasobanuye ko impunzi zirindwi Ishami ry’Umuryango w’Abibumbye rishinzwe Impunzi (UNHCR) rishinja u Rwanda kwanga kwakira...
0 Reactions
4 Replies
315 Views
Licha ya wanajeshi makatili wa Israel kuweka vizuizi vingi na vikali, lakini maelfu ya Wapalestina wamehakikisha wanafika kwenye Msikiti wa al-Aqsa na kutekeleza ibada ya Swala ya Idul Hajj ambayo...
10 Reactions
109 Replies
2K Views
Hezbollah waifedhehesha Israel kwa kurusha live drone footage za kambi za Israel Hawa jamaa wameshindikana wallah[emoji23][emoji23]What an amaizing footage....Jamaa wametuma drone zao zikirusha...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Afisa wa polisi anayefanya kazi kama sehemu ya timu ya ulinzi wa karibu ya Waziri Mkuu Sunak amekamatwa kwa madai ya kufanya kamari kuhusu muda wa uchaguzi mkuu, BBC imebaini. Kwa kuwa mlinzi wa...
3 Reactions
8 Replies
607 Views
Baada ya waziri mkuu wa Israel hapo juzi kulalamika hadharani juu ya upungufu wa silaha na kupeleka lawama Marekani,msemaji wa jeshi la Israel naye ameweka wazi kuwa jukumu la kuwamaliza...
3 Reactions
3 Replies
394 Views
Hao wanajeshi wa korea ya kaskazini.
12 Reactions
76 Replies
3K Views
Takribani raia 14 wa Jordan wameripotiwa kufariki na wengine 17 kupotea wakati wa hija inayoendelea nchini Saudi Arabia. Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudia imethibitisha kuwa vyanzo vya vifo sita ni...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Rais wa Shirikisho la Urusi Putin amefanya ziara yake ya kwanza Korea Kaskazini katika kipindi cha miaka 24 iliyopita akiahidi kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kiusalama na taifa hilo...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Mpaka sasa meli mbili zimeshazamishwa na wapiganaji wa Yemen maeneo ya bahari nyekundu na bahari inayoizunguka Yemen. Meli ya pili kuzama ni ile iliyoripotiwa kupigwa na droni ya baharini wiki...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Waweka Saini Makubaliano ya kuzalisha 570 MW za Kiwanda cha Umeme wa Maji Safi katika Taifa la Himalaya Juni 2024 Mwenyekiti wa Kundi la Adani, Gautam Adani, amekutana na Waziri Mkuu wa Bhutan...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
Urusi imetangaza dau mamilioni ya Dola kwa Marubani wa Ukraine na Western watakao rusha ndege za F 16 za msaada kwa Ukraine wazitoroshe kwenda Urusi Russia promised Western and Ukrainian...
6 Reactions
86 Replies
3K Views
Hapa hatuzungumzii mabomu ya nyuklia, tunazungumzia matumizi ya amani ya nyuklia yaani kuzalisha nishati. Kiteknolojia Marekani iko nyuma ya China kwa miaka 10 hadi 15 katika nishati ya nyuklia...
16 Reactions
136 Replies
3K Views
Wakati nchi za magharibi zikijikita kufundisha watoto mambo ya mapenzi ya njinsia moja,nchi ya Russian inajikita kufundisha watoto wao namna ya kujenga na kutunza familia...
2 Reactions
4 Replies
179 Views
Lamor Whitehead, mchungaji maarufu wa Brooklyn nchini Marekani anayejulikana kama "Bling Bishop," amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya kutumia akiba ya kustaafu...
1 Reactions
5 Replies
422 Views
Maajabu ya dunia yako mengi na kila siku huwa yanaongezeka.Ipo haja hiki walichofanya Hamas nacho kikaingizwa kwenye maajabu hayo. Mmoja ya mateka 4 waliookolewa wiki iliyopita maeneo ya Nusreita...
2 Reactions
14 Replies
653 Views
Kuna watu wanataka/wanatamani vita kati ya Hamas/Hezbollah na Israel ipiganwe kiutu. Sasa najiuliza vita gani ndani yake ina utu? Vita ni vita na bahati mbaya vita nyingi waathirika wakubwa huwa...
6 Reactions
68 Replies
1K Views
Jamaa bila aibu ameanza kulialia kwenye media kama mwenzake Zelensky akiilalamikia marekani kuchelewesha kutuma silaha za kivita israeli. Hakika mazayuni ni mazayuni. ======== Israeli Prime...
0 Reactions
4 Replies
466 Views
Iceland ni Nchi ambayo ni Kisiwa kinachopatikana kaskazini mwa Dunia katikati ya Bahari mbili za Antarctic na Arctic. Mji wake Mkuu ni Reykjavik. Nchi hii ina idadi ya watu wanaofikia 332,529...
25 Reactions
32 Replies
2K Views
Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Wizara ya Afya ya nchini Misri imeeleza kuwa Mahujjaj 35 wa nchi hiyo wamefariki dunia wakati wa siku ya kwanza ya Hijja iliyomalizika nchini Saudi Arabia kutokana na uchovu na umri mkubwa...
1 Reactions
122 Replies
11K Views
Back
Top Bottom