International Forum

News and Stories from rest of the World
Huko Burkina Faso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake. Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za...
22 Reactions
132 Replies
7K Views
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia...
17 Reactions
53 Replies
2K Views
Tuongee ukweli, hawa jamaa almaarufu kama "taifa teule" hawawezi pigana vita na taifa lolote la Mashariki ya kati wao kama wao na wakashinda. Hata mataifa kama Syria, Iran, Lebanon, au Yemen...
7 Reactions
78 Replies
1K Views
Wanaukumbi. BREAKING: 🇷🇺Mapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa. - Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan, -Gari la doria linawaka moto...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha...
3 Reactions
14 Replies
505 Views
Monday, June 24, 2024 Eurasia Review A Journal of Analysis and News East African Community. Credit: EAC The Horn Of Africa States: All Is Not Well In The EAC – OpEd June 24, 2024 0...
0 Reactions
1 Replies
312 Views
Dunia inakwenda kwa kasi sana... Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini...
1 Reactions
1 Replies
232 Views
More and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23] The world is sick and tired of western...
14 Reactions
24 Replies
686 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete Mashariki ya kati huku hofu ya vita ikitanda Kanada inatayarisha uhamisho mkubwa wa raia wake kutoka Lebanon ikiwa vita kamili vitazuka kati ya Israel na...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani Molotov-Ribbentrop Pact 1939 Malengo...
5 Reactions
19 Replies
807 Views
Mabkira wanaendelea kuisha kule akhera --- The Israel Defense Forces killed a senior member of Hezbollah’s rocket unit in a drone strike in southern Lebanon Monday morning, as a top Biden...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu has said that if Lebanon's Hezbollah opened a second front in the ongoing war between Israel and Hamas, then he would bring devastation in southern...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
aljazeeraenglish #Armenia has officially recognised a Palestinian state, the Armenian Foreign Ministry said in a statement on Friday, defying Israel, which is opposed to such moves.⁠ .⁠ Armenia...
5 Reactions
8 Replies
337 Views
Leo nimekutana na mchango wa mwanachama wa Jamii Forums (Imeloa) akisema kuwa Russia ni Banana Republic, hili jina limenishtua kiasi, of course sielewi maana halisi ya Banana Republic. Ila...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa...
4 Reactions
9 Replies
767 Views
Kuna kitu kimeanza kumtokea Benjamin Netanyahu ambacho hata washirika wake wameanza kupata mashaka. Msemaji wa masuala ya kiulinzi wa taifa wa Marekani ,John Kirby amesema hata haelewi Netanyahu...
3 Reactions
10 Replies
810 Views
Mwezi mei,2024 UN iliendesha zoezi la kuitambua Palestine kama Taifa,nchi 144 kati 193 zilipiga kura ya kuitambua na nchi 25 zilijizuia kupiga.Maajabu ni kuwa kura za hao wote sio chochote hadi...
4 Reactions
26 Replies
887 Views
Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom