International Forum

News and Stories from rest of the World
The theme of Joe Biden’s debate performance Thursday night could probably be summed up as: The caffeine ain’t working anymore. I’m talking, of course, about Republican theories suggesting that...
2 Reactions
10 Replies
527 Views
Mvutano kati ya Urusi na Marekani umeongezeka kwa hatari kufuatia shambulio baya la kombora huko Sevastopol, Crimea, ambalo maafisa wa Urusi wanadai lilitekelezwa kwa silaha zilizotolewa na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu daktari alipouawa mlipiga makelele kwamba IDF inaua hadi madakatari, mkaambiwa ni ligaidi la kiislamu hamkutaka kuamini haya picha zimeanza kujitokeza lilivyokuwa limekubuhu, ifahamike kwenye...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Here’s how the US-UK-UA-EU-NATO Nuclear Terror Group plans to trigger World War III….. It should be obvious to every attentive geopolitical analyst that the Western powers are dead set on...
1 Reactions
11 Replies
648 Views
Julian Assange akipanda ndege maalum kuelekea Saipan Mwanzishi wa WikiLeaks Julian Assange ameachiwa huru usiku huu kutoka gereza la Belmarsh nchini Uingereza ambako amekaa kwa miaka 12. Bwana...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mashirika mengi makubwa ya kusafirisha mizigo zimeacha kutumia njia ya bahari ya mkato kupitia bahari nyekundu na Suez kutokana na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth walioahidi kuzipiga meli...
3 Reactions
14 Replies
951 Views
Urusi Baada Ya Mifumo yake Ya ulinzi wa Anga Chapa S-300&400 Kushindwa kufua dafu mbele ya makombora ya ballistic ya Kimarekani Chapa ATACMS,yanatumika na vikosi vya Ukraine, imeamua kupeleka...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
TEMPO.CO, Jakarta - China on Saturday approved the release of 80 online video games after a freeze on such approvals for most of the year. However, the approved titles, listed on the website of...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote...... Dunia inaendelea kupata elimu...
13 Reactions
67 Replies
2K Views
Moderator tafadhali mada hii ni ya kufikirika hivyo niombe usiunganishe kwingineko Wadau hamjamboni nyote? Mada hii ni fikirishi na tunajadili kauli tarajiwa siku chache tu ikitokea Jeshi...
0 Reactions
7 Replies
384 Views
Hakuna anayesazwa, wote lazima wakatafune mabikira kuleeee. IDF and Shin Bet intelligence led to the elimination of Hamas terrorist Ahmed Hassan Salame Alsauarka in a targeted airstrike, with no...
12 Reactions
55 Replies
2K Views
Alhamisi ijayo June,27 dunia itashuhudia miamba ya siasa za Marekani ikifanya mdahalo wa kwanza wa wazi kuelekea Uchaguzi mkuu mwezi November mwaka huu 2024. Wakati Rais Joe Biden, mwenye umri wa...
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia...
19 Reactions
65 Replies
4K Views
Hongera sana Kapteni wa timu ya Red Arrows Bi Susan kwa kupandishwa cheo kuwa Sajenti 🚨 The Zambia Airforce Commander has promoted Red Arrows Women captain Susan Banda to the rank of Sergeant. 🎉...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
MAHAKAMA ya Mji wa New York nchini Marekani, imemhukumu Rais wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez (55) kifungo cha miaka 45 jela na faini ya dola milioni nane kwa makosa ya ulanguzi wa...
5 Reactions
15 Replies
654 Views
Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025 Kulingana na tafiti...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO)...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
The Israeli occupation army is moving its troops to the Lebanese border ahead of an increasingly likely ground invasion of southern Lebanon.
3 Reactions
13 Replies
487 Views
Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
Wawili hao wamesain makubaliano kwamba endapo mmojawapo atashambuliwa, basi ni kama wote wameshambuliwa. Tunaelekea kwenye mgawanyiko ambapo endapo vita itapigwa, basi mwishowe kila mmoja lazima...
14 Reactions
104 Replies
6K Views
Back
Top Bottom