Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima...
Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge...
Siku ninavyoenda naona kama wanazidi kupata nguvu.
Nimeona wamepost video ya drone iliyokusanya maeneo yote umya kimkakati ya Israel ikiwemo vyanzo vya maji.
Satellite immage ikionyesha mameli...
There are two Megabanks that offer loans to all the countries around the planet, the World Bank and the IMF. The first one is jointly owned by the world’s top banking families, with the...
Science is built upon facts and research. Science needs logic and facts.
Kigezo kikuu kilichotumika ni mchango wa research bora zaidi duniani zilizofanywa na vyuo na taasisi za kisayansi kwenye...
Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine.
Mtandao wa BBC umeripoti...
Kwa mara ya mwanzo vikosi vya Hizbullah nchini Lebanon vimetoa tangazo la kuzirushia makombora ndege za kivita za Israel na kuzilazimisha kurudi zilikotoka.
Kufuatana na taarifa ya aljazeera...
Israel’s army says it killed a Hamas weapons expert
The Israeli army claims it killed Muhammad Salah, who was allegedly involved in weapons development and production for Hamas, in an air attack...
Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange
Mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange kesho Jumatano (26 Juni, 2024) anatarajiwa kukiri kosa la kuvunja sheria za ujasusi za Marekani, katika makubaliano...
Julian Assange
Mwanzilishi wa Wikileaks, Julian Assange, anatarajiwa kufika mahakamani Marekani siku ya Jumatano, ambapo atakamilisha makubaliano ya ombi na kuachiliwa huru baada ya vita ya...
June 25, 2024
WOW!!! Julian Assange is finally free,but at a great cost to the ideal of Freedom of Speech and investigative journalist.
What really happened here is that Assange was coerced into...
Paul Kagame
Siku za nyuma, Katibu Mkuu wa chama tawala, RPF inkotanyi, bwana Wellars Gasamagera, alitamka wazi kuwa, RPF haiwezi kuachia madaraka kwa mtu mwingine au chama chochote.
Ikumbukwe...
China kwa sasa ni mzalishaji mkubwa wa vifaa vingi muhimu na vya hali ya juu vinavyoweza kutumika kutengeneza silaha za hali ya juu zaidi.
China ina uwezo mkubwa katika critical technologies na...
Wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia. Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts…...
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
Tangia Putin na Kiduku waingie makubaliano ya kusaidiana kivita, mambo yanaendelea kuongezeka kwa kasi ya hatari. Mfano sasa baada ya Ukraine kupewa ruhusa kushambulia ndani ya Urusi kwa kutumia...
Hegemony ndio sababu ya hii vita. US + NATO hawakujua wapi waishie kwenye kuitawala dunia..
Kama wangekua na heshima kidogo kwa Russia na China na North Korea, na Vietnam Basi tusingekuwa na...
Why it’s too late to stop World War 3
Apocalypse now: a nuclear test in French Polynesia, 1970 - Science History Images / Alamy Stock Photo
Hebu fikiria, kwa muda, kwamba serikali ya Iran...
Waziri Mkuu Narendra Modi na mwenzake wa Bangladesh, Sheikh Hasina, walitoa maono yao ya pamoja juu ya amani, ustawi na maendeleo ya majirani hao wawili na kanda nzima, yakiongozwa na...
New Delhi
Prime Minister Narendra Modi and his Bangladesh counterpart Sheikh Hasina on Saturday articulated their shared vision for peace, prosperity and development of the two neighbours and the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.