International Forum

News and Stories from rest of the World
Tume huru ya uchaguzi ya Afrika kusini (IEC) imetangaza matokeo ya mwisho ya NPE 2024 katika Kituo cha Kitaifa cha Uendeshaji wa Matokeo huko Midrand, Kura kutoka majimbo 19 na mikoa 9...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets. Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa...
10 Reactions
40 Replies
2K Views
Kumetokea urushianaji wa risasi baina ya vikosi vya Israel na vile vya Misri vilivyo upande wa pili wa mpaka eneo la Rafah ambapo askari kadhaa wa Misri wamejeuhiwa na mmoja kati yao kufa. Tayari...
5 Reactions
80 Replies
5K Views
Jean Bosco Gasasira ameishi uhamishoni kwa karibu miaka 14. Mnamo mwaka wa 2010, alikimbia Rwanda baada ya kupokea vitisho vingi akiwa mwandishi wa habari na mhariri mkuu wa gazeti huru la...
1 Reactions
12 Replies
874 Views
Matokeo ya uchaguzi yapo hadharani, dunia nzima inaona, kupitia Vyombo vya Jabari, BBC na Al Jazeera, Sasa tunataka ma CCM, yanayodai ANC ni chama rafiki Yao, watuambie, kwenye uchaguzi wa...
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Waziri wa Fedha Bezalel Smotrich na Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir wametishia kujiuzulu na kuvunja serikali iwapo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu atakubali pendekezo la kusitisha...
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
6 Reactions
88 Replies
3K Views
Sijui watahamia wapi au waje huku kwa wanaopenda kufia haya mavitu... US Secretary of State Anthony Blinken warned Qatar last month that they should expel Hamas senior officials if the terror...
6 Reactions
101 Replies
4K Views
.....Some of the developing stories [emoji3502]According to Politico, the US president's national security adviser, John Sullivan, and US secretary of state, Blinken, persuaded Biden to lift the...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena. Mashoga wa Ukraine wapanga kufanya gwaride mwezi juni 2024 . Serikali ya kiev yabariki Tena jambo hilo kama ilivyobariki miaka ya nyuma. Amini usiamnini...
1 Reactions
6 Replies
700 Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
11 Reactions
191 Replies
4K Views
Kutokana na sababu mbalimbali Hali ya uchumi wetu yamkini si nzuri sana hivyo hata Kama haisemwi lakini kuna mambo yanaakisi hili.Kama taifa yatupasa kushikamana sana na kuhamasisha uzalishaji wa...
2 Reactions
4 Replies
432 Views
Takriban kwa wiki tatu sasa jeshi la Israel limekuwa likipigana vita vikali vya mtaa kwa mtaa maeneo ya kaskazini ya Gaza. Mwishowe jeshi hilo lilitanga hapo juzi kuwa limedhibiti kambi yote ya...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Mji wa Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine na ambao upo hatarini kutekwa na Urusi baada ya kuteka miji mingine ya kiuchumi ya nchi hiyo. Ukitekwa mji huo Ukraine itakuwa ni kama...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
7 Reactions
187 Replies
8K Views
Upigaji kura ulimalizika jana tarehe 29.05.2024. Zoezi linaloendelea sasa ni uhesabuji wa kura. Wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya 27m. Watu walijitokeza kwa wingi kupiga kura. kulikuwa na...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamaa zetu Sauz Wana uchaguzi Mkuu mwakani (2024) maadam Ni Chama rafiki basi watumie mbinu za Chama Chetu kushinda; 1. Mchujo kupitia wajumbe, 2. Kupita bila kupingwa, 3. Kuzima internet (wakati...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Ukisoma BBC Swahili web page yao imeandika kwamba Biden amewaomba Hamas wakubali pendekezo la kusimamisha vita lilotolewa na Isreal. Rais wa Marekani Joe Biden amewataka Hamas kukubali pendekezo...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Taarifa za kivita zimeonesha kuwa wiki tatu za mapigano kwenye kambi ya Jabalia kaskazini ya Gaza ni moja ya mapambano makali vikosi vya Israel ilivyokutana navyo palipokuwa hapakutarajiwa hasa...
4 Reactions
18 Replies
835 Views
Mradi wa Reli wa Baltica wenye thamani ya dola bilioni 4 unalenga kuunganisha miji mikuu ya Estonia, Latvia, Lithuania na Warsaw, Poland na ni hatua ya kamili na ya kiishara ya kuzileta nchi hizo...
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Back
Top Bottom