Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA.
Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa.
Kwa minajili hiyo kwa sasa...
Mgombea mtarajiwa wa kiti cha uraisi wa Marekani na pia mshtakiwa aletiwa hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka Donald Trump leo ameongea na waandishi wa habari na wafuasi wake katika ofisi zake...
Meli ya mizigo ikiwa na shehena ya container imekamatawa nakuchukuliwa na Iran kama ile Tank ya US yenye mafuta wizi toka Mashariki ya kati
Tehran, Iran – Iranian armed forces have seized a...
Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln.
Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga...
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini...
Uonevu,ubabe na udanganyifu pamoja na woga wa baadhi ya watu kwa binadamu wenzao ambavyo vimeoneshwa tangu mwanzo wa vita hivi hakuna shaka kutaleta mabadiliko ya maana kwa dunia nzima.
Kwa nje na...
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza...
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu.
Shukrani sana IDF, malizeni hii...
Wanaukumbi.
Wiki hii nzima Israeli imeteseka L baada ya L; kidiplomasia, kisiasa na kisheria - na sasa: jana askari wao walitekwa kama POWs, na leo Hamas inaonyesha uwezo wao wa kijeshi...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Wanaukumbi.
Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa...
Wakati wa kulinganisha sababu na athari za ununuzi wa ardhi na UAE katika nchi za Afrika kama Tanzania, ni muhimu kuangalia motisha na matokeo ya muda mfupi na mrefu. Hapa kuna sababu kuu na...
Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla...
Naibu balazi wa Israel UN mh Miller amesema Wako tayari kumaliza Vita Hata leo iwapo tu Hamas wataweka silaha chini na kuwaachilia mateka Wote
Source: Al jazeera news
---
The war cabinet...
UPDATE:
Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo
Kura...
Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la...
Katika muendelezo wa serikali ya Houthi ya Yemeni kuiunga mkono Palestine na kujibu mashambulizi ya USA na Uingereza,Leo usiku imeendeleza mashambulizi yake dhidi ya meli ya Uingereza kw akuipiga...
Mahakama ya Juu ya nchi hiyo, katika uamuzi wa kihistoria wa Jumatano, ilitangaza Kifungu cha 250 cha Kanuni ya Jinai ya Mauritius, ambayo ilianza mwaka 1898, kuwa kinyume na katiba ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.