International Forum

News and Stories from rest of the World
Ukraine kwenye hili mumeenda mbali hata mimi shabiki wenu kindaki ndaki nimeingiwa na wasiwasi. Kupiga radar inayotumika na Urusi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nyuklia mtakua mumevuka mpaka...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Norway ambayo ni moja ya nchi tatu zilizoamua kulitambua taifa la Palestina imesema uamuzi wake huo ni kuendana na makubaliano yaliyofikiwa nchini mwake mwaka 1993. Makubaliano hayo yaliyotiwa...
1 Reactions
4 Replies
318 Views
CHANZO NI BBC SWAHILI Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni...
16 Reactions
108 Replies
5K Views
  • Closed
Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
9 Reactions
30 Replies
1K Views
The decision has been made by Israel to attack Iran. Timing is now the issue for the attack 17 APRIL 2024 An Israeli strike against Iran and their Nuclear facilities may be just hours away...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
"Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati...
3 Reactions
1 Replies
324 Views
Msafara wa Raisi wa Iran ulikuwa na Helikopta tatu moja ikiongoza msafara ikiwa na walinzi na Maafisa usalama wa Irani na Maafisa wengine wa serikali ya pili katikati ilikuwa imembeba Raisi wa...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu. Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya...
6 Reactions
77 Replies
4K Views
Abu Ubaida,yule msemaji machachari wa Hamas ametoa video ikionesha askari kadhaa wa Israel waliotekwa nyara baada ya wenzao kufa na wengine kujeruhiwa. Kwa mujibu wa Abu Ubaida tukio hilo...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili...
0 Reactions
4 Replies
612 Views
UPDATE Kituo cha Taifa cha Majanga kimeomba Msaada wa Uokoaji kwa Jumuia za Kimataifa na kueleza kuwa takriban Watu 2,000 wamefukiwa na katika Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Mei 26, 2024 Kituo...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu wakumkamata Netanyahu na Putin? Tuache utani, kama Africa kusini walishindwa kumkamata Al Bashir, dunia inaweza kuwakamata Netanyahu na Putin? Dunia imejaa unafiki. Viongozi wa...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Mbona utu hakuna wala hofu mauaji yameendelea sana. Mambo ni mengi sana watu wamekosa hofu ya Mungu ingekuwa dini zingefuatwa basi vita ingesimama. Shetani amejinyanyua sana tumechoka kusikia...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa . Ukimsikiliza unaona kabisa ana...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuna mzungu ana channel yake youtube anatalii Afrika kwa baiskeli na hivi karibuni anaingia Tanzania, kwa sasa yupo Burundi. Waafrika wanapenda sana attention kutoka kwa Wazungu, kuwaita ita...
3 Reactions
7 Replies
541 Views
Mahakama ya Juu nchini Urusi imekubali ombi la serikali kuorodhesha kanisa la Mashahidi wa Yehova, kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses, kama kudi la kidini lililoharamishwa, na kuliorodhesha kuwa...
7 Reactions
331 Replies
40K Views
Back
Top Bottom