International Forum

News and Stories from rest of the World
Uswisi inaratajia kuwaalika washiriki zaidi ya 160 kutoka mataifa mbalimbali katika mkutano utakaolenga kuleta amani na upatanishi wa Ukraine na Russia. Mkutano huo unatarajia kufanyika kwa siku...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Papa Francis anadaiwa kuwaambia maaskofu wa Italia kutowaruhusu wanaume mashoga kupata mafunzo ya ukasisi, huku magazeti mawili ya Italia yakidai kuwa papa huyo mwenye umri wa miaka 87 alitoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
BBC wameripoti wakinukuu jarida la 'the Teleghraph' kuwa Zelensky atakiwa kutoomba visivyowezekana. My take; Kaomba nini huyu Bwana Mkubwa? Au kachokwa baada ya kuona anashindwa Kuleta natokea...
3 Reactions
1 Replies
649 Views
Gati linaloelea majini lililojengwa Gaza na Marekani kupitishia misaada kabla kufanya kazi yake limeshakumbwa na matatizo mara kadhaa na mwishowe limebomoka kutokana na upepo mkali. Habari...
1 Reactions
11 Replies
678 Views
Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa Israel, Mosad ametishia mwendesha mshataka wa ICC asipoachana na mashtaka ya genocide mauaji ya alaiki dhidi ya Israel, personal security yake na wanafamilia yake...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
URUSI: Vladimir Putin anatarajiwa kuapishwa leo Mei 7, 2024 kuendelea kuliongoza Taifa hilo kwa kipindi kingine cha miaka 6 huku akiwa ametawala kwa miaka 24 Putin alishinda Urais kwa takriban...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Raisi Biden Ana msimamo wa wastani kuhusu suala la Palestine. Trump ni tofauti kabisa. Yeye ni pro Israel na Netanyahu kindakindaki. Kwa hivyo akishinda uchaguzi, Hali ya Palestine itakuwa mbaya...
5 Reactions
11 Replies
651 Views
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi. Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni...
6 Reactions
55 Replies
3K Views
CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY MAY 25, 2024 The video below shows Chinese...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Kati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine. Hawa mabwana wanaona...
11 Reactions
18 Replies
657 Views
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
46 Reactions
197 Replies
11K Views
Nimewaza kwa upande wa pili kwamba ikitokea Mossad (Israel) au taifa lolote la kigeni lilihusika kwa ajali iliyotokea nchini Iran....Majibu ya Iran sasa (hiiiiii.... in mwendazake voice) yatakua...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Kwenye hili namuunga mikono, tupa nje warudi kwao Uarabuni.... “One thing I do is, any student that protests, I throw them out of the country. You know, there are a lot of foreign students. As...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Raisi Gustavo Petro ameonesha kutoamini kinachoendelea Gaza mbele ya mataifa makubwa yanayojinadi kusimamia utawala bora wa kidemokrasia. Hata hivyo mbele ya mshangao wake raisi huyo alipata...
4 Reactions
12 Replies
802 Views
Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya...
9 Reactions
121 Replies
6K Views
Hi! What's going on today between Russia and Ukraine is caused by the so what called "developed countries". There is high imbalance in taking negotiation for peaceful majors between two...
2 Reactions
9 Replies
330 Views
MSM silent as Court holds PCR Covid tests 97% inaccurate and unfit for purpose MAY 26, 2024 The main stream media (MSM) in Europe and the US is deathly silent as a court determines the PCR...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Raia 15 waliuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi kwenye kanisa katoliki wakati wa ibada ya Jumapili kaskazini mwa Burkina Faso, afisa kwenye kanisa hilo alisema...
1 Reactions
100 Replies
4K Views
Hilo eneo la Gaza ni kubwa kiasi gan kiasi cha wapiganaji wa Hamas kutodhibitiwa? Imeripotiwa kuwa wanaendelea kurusha maroket kuelekea Tel aviv. Je hiyo mifumo ya ulinzi ya Israel inashindwa...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom