International Forum

News and Stories from rest of the World
Swalama wakuu! Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC inajiandaa kuondoa kikosi chake lilichoko Msumbiji kusaidia serikali kupambana na magaidi wa kiislaam ifikapo July 15 2024...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Mumeshikilia watoto wa Wayahudi halafu mnaomba ICJ iingilie kati ili IDF iache mapigo, jameni wale ni Wayahudi sio Wakristo, mtapigwa sana, achieni watoto wao...poleni lakini. Israel continues...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Vikosi vya Urusi siku ya Jumanne vimeendelea na safari yao ya wiki moja ya kuuzingira na kuuteka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine ambapo kamanda wa vikosi vya ardhi vya Ukraine alielezea hali...
10 Reactions
70 Replies
6K Views
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
47 Reactions
101 Replies
8K Views
Hatimaye Ebrahim Raisi aliyekuwa Rais wa Iran amezikwa nyumbani kwao Mashhad Source: BBC
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Nimesikia Rais Ruto anawasapoti M23,kwa hiyo jambo gani litatokea akirudi kutoka Marekani na amerudi sasa within the past hour. Au this is useless speculation tusubiri kuona jambo gani litatokea...
2 Reactions
14 Replies
685 Views
Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za...
0 Reactions
62 Replies
2K Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
18 Reactions
82 Replies
5K Views
Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani na unaoendana na matakwa kamili ya Mwenyezi Mungu kwani unazingatia maadili mema na upendo miongoni mwa jamii. Ni muda sasa tuubadili...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Mtapigwa tu, juzi rais wenu ameliwa milimani, tena kwenye ndege tatu, ya kwake ndio ilichaguliwa, wiki haijaisha bomu limepiga karibu na ubalozi. One dead after explosion reported near Iranian...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Nakaribisha wajuvi wa mambo kuhusu Iran. Huyu General Qassem Soleimani alikuwa na nini cha ziada? Mbona wa Iran wengi huonesha kumkubali na kusikitishwa zaidi na kifo chake mpaka leo licha ya...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Amani ya Umoja wa Afrika AU bwana Mousa Faki ameoneshwa kukerwa na jproji wa chaguzi na mapinduzi Barani Afrika. Bwana Faki alikuwa akizungumza Dar kwenye maazimisho ya...
1 Reactions
6 Replies
364 Views
Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka. Utafiti huo...
5 Reactions
5 Replies
476 Views
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Kufuatia kibali cha mwendesha mashtaka wa ICC ya kuwakamata Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na waziri wake wa Ulinzi bwana Yoav Gallant .nchi ya Norway imesema leo kuwa Viongozi hao wasithubutu...
6 Reactions
75 Replies
5K Views
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka. Tena kibaya zaidi Rais wa Norway...
19 Reactions
173 Replies
6K Views
Zambia's former President Edgar Lungu has insisted that he is "virtually under house arrest" although police said the monitoring of his movements was "strictly for his own safety". "I cannot move...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom