International Forum

News and Stories from rest of the World
Ayatolla na dini yao wanaendelea kupoteza vijana kwenye taifa la Iran, wanalazimisha ila ndio hivyo, Iran ilishindwa kwenye mechi ya mpira, halafu vijana wakajitokeza kushangilia hilo anguko maana...
1 Reactions
8 Replies
845 Views
17 July 2023, Washington Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo...
14 Reactions
93 Replies
5K Views
Wanakumbi. 🚨🇮🇱ISRAEL KWENYE KESI YA ICJ - NCHI 52 KUTOA USHUHUDA KUANZIA FEB 19-26 Kesi za ICJ zitaendelea hadi Februari 26. Baadaye, majaji wanatarajiwa kuchukua miezi kadhaa kujadili kabla ya...
5 Reactions
89 Replies
3K Views
Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja. Mbona kila kitu kimetoka kwa mabeberu Sasa katengeneza ni ni hapo
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Israel ni taifa lenye maendeleo makubwa na uchumi mkubwa as per capita income kuliko mataifa yote middle East Ni taifa tena lenye technologia kubwa pale middle East Ni taifa lililopiga hatua...
8 Reactions
39 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa tunaambiwa vikosi vya umoja wa mataifa MONUSCO pamoja na SADC kazi yao ni kulinda amani huko mashariki ya DRC lakini kazi wanayoifanya ni kusaidia vikosi vya serikali ya Congo...
7 Reactions
250 Replies
9K Views
Baada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndege kubwa ya abiria ya C919 ya China hivi karibuni iliwasili nchini Singapore ili kushiriki kwenye Maonyesho ya Ndege ya Singapore ya mwaka 2024 yanayofanyika siku hizi. Hii ni mara ya kwanza...
13 Reactions
60 Replies
3K Views
Mamlaka nchini Iran inawashikilia takriban vijana 10 wa kiume kwa "kuonyesha furaha" kutokana na timu yao ya taifa kufungwa hivi majuzi na timu ya taifa ya Qatar katika michuano ya soka. Shirika...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Rwanda imeingiza kiasi cha dola Bilioni 1.1 katika mapato ya mauzo ya Madini mbali mbali kwa mwaka wa 2023. Hiyo ni ongezeko ya asilimia 43 ya mauzo ya mwaka wa 2022 baada ya kupata dola milioni...
9 Reactions
81 Replies
5K Views
Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam,Shalom, Wiki mbili zimepita sasa, iliripotiwa mlipuko mkubwa wa moto Kutoka msituni uliosambaa na kuteketeza mji mzima. Watu wengi wamefariki, nyumba za mji huo kugeuka majivu...
4 Reactions
101 Replies
5K Views
The Khazar-Rothschild Continuum and the Hidden Hand of History In this historical narrative, I trace the Khazars, a mysterious 8th-century group, to the powerful Rothschild dynasty. Over...
1 Reactions
1 Replies
656 Views
Katika hali ya Kushangaza raia wa Gaza kiukweli wamechoka walitarajia big result kutoka kwa Hamas ila matokeo yake wamejikuta walala nje na kulala njaa.. Sasa wanaandamana kila kona kuwasaka Hamas...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Jarida la masuala ya kivita la defence Web limesema Jeshi la Kulinda Amani la SADC linaloundwa na Nchi za South Africa,Tanzania na Malawi like tayari Kwa kukabiliana na matumizi ya silaha na zana...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
AFRIKA KUSINI: Waziri wa Fedha, Enoch Godongwana ametangaza ongezeko la malipo ya Mishahara kwa zaidi ya Wafanyakazi Milioni 18 kupitia Bajeti ya mwisho kabla ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
2 Reactions
9 Replies
864 Views
Marekani na Uingereza zimefanya mashambulio mfululizo ya anga dhidi ya maeneo kadhaa yaliyolengwa ya kundi la Houthi la nchini Yemen hivi karibuni, lakini kundi hilo linadai kuwa, halijayumbishwa...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa ametangaza tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Kitaifa na Majimbo na kueleza kuwa utafanyika Mei 29, 2024 ambapo ameitisha Kikao na Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wa...
0 Reactions
8 Replies
971 Views
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti. Ni...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Back
Top Bottom