Rais Felix Tshisekedi ameridhia Barua ya Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Jean-Michel Sama Lukonde ikiwa ni Miaka Mitatu toka ateuliwe, hivyo kusababisha kuvunjwa kwa Serikali
Taarifa kutoka Ikulu...
Tajiri namba moja duniani Bw. Elon Musk amesema binti yake hawezi kuolewa na mtu maskini. Ukisoma maelezo yake hapa chini bila shaka utakubaliana na dhana yake hiyo.
Tofauti na wengi tunavyoelewa...
Wanaukumbi.
Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel.
Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote.
Israel na Netanyahu wapuuzi sana...
Je, tunakumbuka nchi nyingi za Africa zilivunja uhusiano na taifa la Israel? Pamoja na yote hayo, taifa la Israel halijateteleka na limekuwa imara zaidi.
Kinyume chake Africa tumerudi nyuma zaidi...
Wakuu waTume wamejiuzulu na kukiri wizi wa kura ,wakisadikisha kupora kura sahihi za wapiga kura 70000 za mgombea Uraisi Imran ambae hata hivyo ameibuka kidedea.
Wakuu hao wamesema amri za...
Katika Vita Vya Israeli - Hamas, idadi ya magaidi waliouwawa yaelekea 10,000 kulinganisha na wanajeshi wa Israeli 236 toka vita ianze hiyo October, 30,2023. Huku 90% ya miundombinu ya Hamas...
Rwanda’s Diplomacy of Lament in the M23 Crisis
The conflict in the east of the Democratic Republic of the Congo (DRC), involving the M23, is escalating to a new level. The involvement of the...
Kamanda wa Monusco Goma anasema m 23 wakijaribu kuiteka Goma Monusco italisaidia Jeshi la Kongo. Hii ni mara ya Kwanza Monusco wamesikika wakiongea namna hii.
Pia Kamanda wa Tanzania Goma anasema...
Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Maafisa wamefichua kwamba, Kanali...
Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo...
Mbumba’s proposal is good for Namibia’s economy
Nangolo Mbumba is sworn in as interim president following the death of Hage Geingob, in Windhoek, Namibia, February 4 2024.
Image: SHARON KAVHU/...
Gavana wa Jimbo la Borno Nchini Nigeria amewataka Raia Wake kuingia kwenye Mfungo Kwa kile ameita Kumuomba Mungu Ili Awatatulie Shida ya bei kubwa ya chakula na usalama mdogo ambapo karibia Kila...
Japo inafahamika wamekufa wengi, ila wao wamekiri waliouawa ni 6,000 yaani mabikira yanapelekewa moto...
A Hamas official based in Qatar told Reuters that the group estimated it had lost 6,000...
GUINEA: Rais wa Mpito, Mamady Doumbouya, amevunja Serikali ya Kijeshi bila kueleza kwa undani sababu za hatua hiyo huku akifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kuanzia nafasi ya Waziri Mkuu...
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.
Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi...
Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo.
Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
Israel imeendelea kupoteza ushindi baada ya askari wake kuuwawa sasa hivi katika mpaka wa Lebanon, Baada ya rocket kutupwakatika ardhi ya Israel na kuua vikosi vyake na mapambano bado ni makali...
Russia wanatisha wamewashika pabaya US. Marekani leo wamemilio ya hofu ya kulipuliwa Space Command yao
BREAKING:
[emoji298] Russia wants to place nuclear weapons in space to neutralise US space...
SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025...
Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.