Iran bingwa la maugaidi ya dini imeanza kufanyiziwa ndani kwa ndani, maslahi yake yamepigwa kote huko nje sasa inapigwa ndani na kama ina jeuri au ubavu wa kujibu basi ifanye tuone.
Mabomba...
Msemaji wa Navalny, Kira Yarmysh, ameiambia BBC kuwa timu ya Navalny inaamini Vladimir Putin aliamuru kifo cha mwanaharakati huyo, ambaye bila shaka alikuwa mkosoaji maarufu wa rais wa Urusi...
Kwa zaidi ya miaka 70 sasa Waisrael wamekuwa wakiwanyanyasa sana na kuwaua.
Huko Gaza na West Bank, Waisrael wanawaua kila siku.
Gaza huko Waisrael wanadhibiti karibu huduma zote za msingi...
Hawa Wapalestina akili zitawaingia tu na kujua haya magaidi ya dini hayasaidii kitu zaidi ya kuwasababishia matatizo zaidi, na hamna anayekuja kuwaokoa, ndugu zao katika dini yaani waarabu...
For a week now, the Israeli army has not moved an inch in Gaza
On the other hand, they have a huge number of casualties among the officers according to official reports of the Israeli Army...
Hawa Hezbollah wamekua wakionywa kila siku kwamba Israel siku ikiamua kuanza kutembeza kichapo, watajutia, yaani mpaka sasa ifahamike Israel haijaanza chochot cha maana pale ila wamefaulu kumuua...
04 February 2024
Dakar, Senegal
RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU
Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia...
Baraza la Katiba la Senegal limebatilisha tangazo la kuchelewesha uchaguzi wa rais uliokuwa ufanyike mwezi huu likisema kura ya bunge ilikuwa kinyume na katiba.
Baraza hilo Katiba la Senegal...
The Southern African Development Community (SADC) mission to the Democratic Republic of Congo (DRC) will, reports have it, face an M23 rebel grouping with high-tech armament at its disposal.
M23...
Mamady Doubouya ameibuka maarufu sana Jumapili Hii Baada ya kuongoza mapinduzi ya kumng'oa madarakani Rais Alpha Conde aliedumu madarakani kwa miaka 11.
Akiongoza mapinduzi hayo, kamanda Mamadou...
Wadau hamjamboni nyote
Benjamin Netanyau ataongea na waandishi habari Leo saa 2:30 usiku
Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a press conference this evening at 7.30 p.m.
The address, in...
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya...
Serikali imepunguza 50% ya Nauli za Mabasi pamoja na kufuta Nauli za Usafiri wa Treni za Umma kwa lengo la kuwapunguzia Wananchi gharama za Maisha hasa katika Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka...
Hii imekuja baada ya kushutumu watu wanaotembea maelfu ya km kwenda mojawapo ya Kijiji Nchini humo kufanya hija Kwa maelezo kwamba mwaka 1981 Bikira Mariam mama wa Yesu aliwatokea mabinti 2 eneo...
Februari 16, 2024
Video ifuatayo inatoa ukweli mno kuhusu hali halisi ya akili ya Rais wa Marekani Joe Biden, kiasi kwamba kila mtu anayeitakia mema Dunia na Marekani anapaswa kuisikiliza.Naomba...
Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
https://infrastructurereportcard.org/...
Tokea mwaka 1944, baada ya kutengeneza mfumo wa Bretton-Woods hakuna taifa ambalo limewahi kuwa na uchumi mkubwa kama Marekani. Kufika mwaka 1945, Marekani ilikuwa inamiliki nusu nzima ya uchumi...
litvinenko worked for the Russian Secret Service in the KGB and in the FSB. He exposed many of the lies of the Kremlin and of Putin. He campained on behalf of the Chechen Muslims who had been...
Russian President Vladimir Putin said that the United States will face the same fate as the Soviet Union , but also that Russia has no opponents .
Speaking about relations between the world...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.