International Forum

News and Stories from rest of the World
Kinachotokea Ukraine ndhicho kitakachoipata Israel mbele ya Hamas.Ukraine na Israel wote wanafanana kwa viwango vya kiburi vita vilipoanza. Ukraine alipoona uchumi wake ni mkubwa akaamua...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina. Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka...
5 Reactions
4 Replies
745 Views
Siku ya mwanzo Marekani na Uiengereza walipoanza kushambulia Houth kule Yemen maeneo karibu 85 ya Houth tuliambiwa yamepigwa na picha za moshi ukifuka tukarushiwa. Kuna watu walijua Houth imeisha...
5 Reactions
124 Replies
3K Views
Marais wa #Kenya na #Nigeria wamekumbana na Ukosoaji wa hali ya juu baada ya kusafiri mara kwa mara nje ya nchi zao, ambapo safari hizo zimegharimu fedha nyingi huku nyingine zinatajwa kutokuwa na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana forum: Nimekuwa nikufuatilizia debates zinazoendelea ndani ya forum yetu, kwa kile kichoendelea Mashariki ya Kati, hasa kipindi hiki cha vita kati ya Israel na Hamas. Kilichonisikitisha...
1 Reactions
3 Replies
280 Views
Taratibu akili zimeanza kuwakaa hawa watu, sikutegemea ipo siku Misri itatoa tamko kama hili..... Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry sharply criticized Hamas on Saturday, saying that "the...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Hali ya Wasiwasi na mvutano kati ya Ethiopia na Somalia imezidi kuchukua sura Mpya baada ya Vikosi vya Usalama Vya Ethiopia kuharibu kumzuia Rais wa Somalia Mahmoud Hassan kuingia kwenye Mkutano...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo sitaki niseme mengi.Mtajionea wenyewe hapo chini Iran unveils air defence systems as Middle East tensions soar Saudi Arabia signs $3.2B deal for South Korean air defense systems Saudi Arabian...
13 Reactions
111 Replies
5K Views
Hapo Rafah ndiko wamekimbilia wote pamoja na uongozi, panahitaji usafi kwa mabomu.....raia waondoshwe ili kuepuka lawama za kupelekana ICJ........... Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Baada ya kumsoma sana Benjamin Netanyahu kuhusiana na vita vyake na Hamas na matatizo ya nyumbani kwake nimemuelewa sana.Naataka niwafahamishe na wenzangu waone tatizo liko wapi. Kwa ujumla...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Huu ni msaada wa pili wa aina hiyo baada ya uke wa Februari 6 Mwaka huu amabapo India ilituma shehena ya kwanza ya misaada ya kibinadamu kupitia ndege ya mizigo ya kibiashara hadi Zambia kulingana...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Katika hatua ambayo itawahuzunisha wengi wanaopinga Kanisa Katoliki, wasiolipenda na wanaoliombea mabaya; Mama Kanisa amekataa kutoa baraka kwa miunganiko ya jinsia moja (ushoga) kwa sababu ushoga...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Rais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer. --- MOSCOW, Feb 14 (Reuters) - President Vladimir Putin said on Wednesday that Russian...
16 Reactions
108 Replies
6K Views
DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Israel shaken by troops' tales of brutality against Palestinians A psychologist blames assaults on civilians in the 1990s on soldiers' bad training, boredom and poor supervision Conal...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hili liinchi la DRC kuna wakati huwa linaboa, yaani kila siku kulia lia, hako kainchi kadogo size ya mkoa kanawasumbua kivipi, kwani wakiamua kutuma maelfu ya wanajeshi kwenye huo mpaka wa DRC na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Sasa hivi kila mtu anajenga kwake, hamna cha undugu wala dini, mkijifanya wababe wa ugaidi kwenu huko mnajengewa ukuta mtafunane humo humo kwenu. Hata hawa waswahili humu JF ambao hujifanya kuwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Rwandan army fighting for Total Energies and Exxon Mobil ( French and USA) interests in Cabo Delgado Important to note that the Rwandan army deployment to Mozambique was made possible by EU...
5 Reactions
11 Replies
690 Views
Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia...
8 Reactions
104 Replies
6K Views
Assimilation sijui neno lake kwa kiswahili. Niiweke hivi asimileshen ni idea flani hivi watu wanalazimishwa kwa hiari kufuata na kuridhia tamaduni za wengine nakuacha tamatuni zao. Mfaransa na...
5 Reactions
2 Replies
431 Views
Back
Top Bottom