Vita vikali vya maneno vimetokea kwenye bunge la knesset nchini Israel baina ya wabunge wahafidhina wa kiyahudi na makundi ya ndugu za mateka wanaokisiwa 247 walioko Gaza.
Mapambano hayo...
Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia...
Ghaziabad (Uttar Pradesh) [India],
Juzi Novemba 19 Ndege ya pili ya Jeshi la Anga la India (IAF) C17, iliyokuwa na tani 32 za msaada kwa raia huko Gaza iliyopatikana katika vita vinavyoendelea...
Tarehe 20 Novemba ni Siku ya Maendeleo ya Viwanda Barani Afrika. Ikiwa ni sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati yake na Afrika, China imewajibika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza...
Wafanyabiashara watano huko Accra wamekamatwa na polisi kwa kushindwa kujiandikisha kwenye Tume ya Ulinzi wa Data (DPC) na kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data.
Wafanyabiashara hao ni wawakilishi wa...
Wapiganaji wa Palestine wameteka vifaru vya Israel wakati wanarudi nyuma kutoka Gaza, pia Wapiganaji Hao wamewateka na Wanamgambo wa Israel waliozidiwa mapigo
pic.twitter.com/p2Nxk1Yixf
The...
Kutana na mwamba wa kuitwa 'The Madman' ambaye ameshinda uchaguzi wa urais wa Argentina.
Huyu mwamba ni mfuasi wa mrengo mkali wa kulia ambaye anamu-inspire sana "Madman" mwenzake Donald Trump...
Hawa jamaa wa hezbullah hawana mchezo naona wao wameamua liwalo na liwe. Leo wameshambulia na kuharibu kabisa kambi ya kijeshi ya wazayuni Birnit huko kusini mwa Lebanon.
Israeli imekua...
Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine.
Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua...
Magaidi wamekuwa walalamishi kwa visingizio kibao, eti IDF anapiga sana watoto na wake zao, kwa nini asiwapige wao tu?
Wanasema hivyo, huku wakijificha sehemu ya watoto na wake zao, sasa wanataka...
Naona mkuu wa HAMAS anasema yupo kwenye hatua za mwisho kuishawishi Israel isitishe mapigo kwa siku tano na yenyewe itaachia mateka 100.
Japo wanajifichia kwenye mgongo wa misaada, ila kimkakati...
Ndugu watu wa Jf amani ya Bwana ikae nanyi.
Awali ya yote naomba ninukuu 1Samweli 15: 2 - 3 iwe ndio msingi wa mada yangu.
2 - Bwana wa majeshi asema hivi "Nimeyatia moyoni mwangu mambo hayo...
Wakati wagombea urais wa Tanzania wakitoa Sh5 milioni kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano, kwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wagombea urais wanatakiwa kuonyesha risiti ya malipo ya...
Kwanini ukristo kupitia ukatoliki na dini washirika iliamuru kushika upanga na kuchinja wale wote wasiowaamini huko Ulaya na sehemu nyingine duniani?
Nakaribisha wajuvi wa mambo.
FORCE OF IRON
Major General Tomer Bar made the chilling warning in an TV address today
Pichani :Meja Generali Tomer Bar ametoa Onyo kwenye Televisheni leo
Israel vows they are ready to bomb...
Wayahudi, idadi yao ni ndogo sana, japo kuna wakati walikuwa wengi kidogo. Mwaka 1939, kabla ya vita kuu ya Dunia, idadi ya Wayahudi ilifikia 15.3 million Hitler aliwaua Wayahudi wapatao milioni...
Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu...
Clemens Matanga ni kijana wa miaka 22 tu aliyekuwa Israel akitafuta Elimu yake kwa ajili ya kulisaidia taifa na familia yake kwa ujumla.
Bahati mbaya tarehe 7/10 alitekwa na magaidi wa Hamas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.