International Forum

News and Stories from rest of the World
Ukweli umeanza kujulikana kuwa waliokufa kwenye tamasha la muziki eneo la Nova wengi wao waliuliwa na helikopta za Jeshi la Israel na sio wanamgambo wa Hamas. Kuhusiana na mateka wengi wao...
4 Reactions
15 Replies
892 Views
By Debbie Schlussel While the Palestinian Mission in Washington, yesterday, hoisted its ugly flag in a move to manipulate the world further toward its terrorist statehood scheme, most Palestinians...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
IDF wameikamata Gaza yote kwa mujibu wa BBC na ni wao tu wanaotamba pale Ukandani Je, Vita ndio imekwisha? Palestine ndio itakuwaje sasa au watabakia Mabwanyenye wa West Bank? Au itakuwa kama...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Mnamo Desemba 1973, rais wa Misri Sadat alitambua kwamba Waarabu hawawezi kamwe kuishinda Israeli kijeshi (baada ya mafanikio yao katika vita vya 1973 ambavyo kugeuka). Saudi Arabia pia ilielewa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni aibu kubwa kwa taifa kama Israel kuwa waongo waongo hivi: 1. Hadi sasa wameshindwa kuthibitisha HAMAS kutumia vituo vya hospitali kwa vita. ==> Hapa wametengeneza hadi clips za manesi fake...
6 Reactions
140 Replies
6K Views
Rais George Weah amempigia simu mpinzani wake katika kinyang'anyiro cha urais, Joseph Boakai, kumpongeza kwa ushindi wake. Akihutubia taifa amesema, "Watu wa Liberia wameongea na tumesikia sauti...
12 Reactions
70 Replies
7K Views
Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa. Hii ni sababu ya...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
With all respect to western countries and China Israeli will probably rise as a super power in 50 years to come Why israeli Will rise? Technology: tembea duniani kote wazayuni ndio wavumbuzi...
2 Reactions
14 Replies
949 Views
Askofu Gamanywa wa BCIC ambaye kwa zaidi ya miaka 20 sasa anaendesha kipindi cha Ijue Israel pale Wapo Radio FM amesema Jeshi la Israel linaulinda Msikiti wa Al Aqsa kwa sababu maalumu. Baba...
7 Reactions
109 Replies
8K Views
Israel ni kielelezo cha ustaarabu wa binadamu anayeishi kwa kutumia kiasi kikubwa cha akili yake katika Mashariki ya kati na sehemu kubwa ya dunia kwa ujumla. Ni demokrasia halisi na pekee...
1 Reactions
18 Replies
962 Views
Waarabu hasa Wapalestina wamekuwa wakipambana kutotaka kulitambua kabisa taifa la Kiyahudi la Israel. Iran mpaka leo wanasema wazi taifa la Israel halina uhalali wa kuwepo juu ya uso wa nchi...
1 Reactions
3 Replies
623 Views
Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa...
1 Reactions
8 Replies
636 Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto...
0 Reactions
50 Replies
2K Views
Serikali ya Nigeria imetangaza kuwaachia huru zaidi ya Wafungwa 4000 walioshindwa kulipa faini mbalimbali ikiwa ni mpango wa kupunguza msongamano gerezani Waziri wa Mambo ya Ndani wa Nigeria...
0 Reactions
1 Replies
655 Views
Martin Gifhin mkuu wa shirika la afya duniani amesema ikiwa umoja wa mataifa umeshindwa kuizuia Israel isiendelee kuua watu wasio na hatia Gaza basi hakuna haja ya kuwepo umoja huo. Maelezo hayo...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa.... IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Poleni sana Ndugu zetu waislamu kwa mitihani mnayopitia dhidi ya wazayuni laanatullah alayhim Wamewakaribisha na kuwapokea kwa wema, ila end of the day kilichowakuta sub haanallah, kama mnavyoona...
1 Reactions
67 Replies
3K Views
Nimesoma makala moja ya bbc swahili ikimponda sana mchambuzi na Twitter maarufu ndugu Hinkle Hinkle alisema mashambulio ya Hamas ya October 7 yalifanywa na Isreal alikwenda mbali zaidi na...
3 Reactions
1 Replies
411 Views
Je, vita vya wenyewe kwa wenyewe au machafuko ya kisiasa huleta kuheshimiana katika nchi baada ya kuisha yakiweno maridhiano? NB. Lengo la uzi huu ni kujifunza tu kupitia historia na wala sina...
1 Reactions
3 Replies
309 Views
November 19, 2023 Israel’s genocide campaign has likely risen to 20,000 dead Palestinians Never in this Third Millennium will the world community of nations hold their heads in collective shame...
1 Reactions
1 Replies
221 Views
Back
Top Bottom