International Forum

News and Stories from rest of the World
Tuachane na vita vya Israel na Hamas.Hivi vita vimeisha na Israel haiwezi kuwapata Hamas wala mateka. Uchunguzi wa kitaalamu ukihusisha mizozo mengine ya kivita ya miaka ya karibuni unaonesha...
10 Reactions
117 Replies
5K Views
Hamas wamesema katika Mipango yao hawakujua kama kutakuwa na Tamasha la Muziki siku ya tukio. Ikumbukwe Waisrael 360 wanaosadikiwa walikuwa Kwenye Tamasha la Muziki waliuawa siku ya uvamizi wa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
15 NOVEMBER 2023 The "only Democracy in the Middle East." Yes,the Israel government instructed it's army to blow up the Parliament Building of the Gaza Strip today. Video Below. The video...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na...
1 Reactions
2 Replies
590 Views
Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini...
14 Reactions
141 Replies
11K Views
Wazungu wana uungwana mwingi sana maana Omar bin Laden, anaishi kwa uhuru kule Normandy Ufaransa. Omar bin Laden Wakati mtoto wa kwanza, Abdallah bin Laden anaishi Saudi Arabia na haruhusiwi...
9 Reactions
86 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya watu wamepata dhana kuwa vita vinakaribia mwisho Gaza, kumbe ndio kwanza viko katikati ya safari. Kifo cha Colonel Kevin Darwin hapo juzi huko Gaza kumeleta huzuni kubwa mjini Tel...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Hamas wasema Ijumaa hii wataitisha maandamano ya nchi za kiarabu kulaani mashambulizi anayofanya Israel huko Gaza tokea jumapili. Waziri Netanyahu wa Israel alisikika akisema Israel inatarajia...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Ni kama serkali ya Tanzania inasema hao watanzania na wafe tu hawana thamani wenye thamani Inawezekana vipi balozi wa palestine nchini hajafukuzwa? Magaidi ya palestine yameshikilia vijana wetu...
14 Reactions
67 Replies
2K Views
Taarifa zimezagaa kuwa mmoja wa mateka wawili wa kitanzania waliokuwa huko Gaza ameshafariki dunia.Mateka huyo anaitwa Clemence Felix Mtenga, mwenye umri wa miaka 22. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mimi nasimama na Israel kwenye mapigano haya, ila tu kwa niliyoyaona Jana naweza kushauri kwamba Sasa inatosha. Nadhani kwa Sasa Israel isistishe mapigano na Hamas maana kwa Sasa wanaoumia sio...
9 Reactions
185 Replies
8K Views
Wanaukumbi. Mwanzo tuliaminishwa kuwa Hospitali ya Al Shifa, kuwa ndiyo Makao Makuu ya Hamas wana maandaki chini ya hosptali wanajicha huko na kupanga mashambulizi pia wanatumia wagonjwa na raia...
7 Reactions
160 Replies
8K Views
Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni? Vipi, Dollar imeanguka? Mzungu atabaki mzungu tu! Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
[emoji1078] Moïse Katumbi atangaza rasmi kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao na vilevile, amesema kwamba amejiondoa katika umoja wa kitaifa (Union sacrée de la nation). “...Matokeo...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Naombeni mwenye kujua undani wa mauaji ya wayahudi kipindi cha Hitler naomba story ya Nazi Concentration Camps zile kama Sobobor, Ustwich etc Na zile death gas chambers.
2 Reactions
90 Replies
21K Views
Vatican imethibitisha marufuku iliyopo kwa waumini wa kanisa katoliki kuwa wanachama wa muungano wa Freemasons. Waraka mpya uliotiwa saini na Papa Francis umesema mafundisho ya Kikatoliki na...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Naona vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaza propaganda za Israel vimeona vinakwenda kuabika mbele ya dunia kwenye hili sakata la SHIFA HOSPITAL BBC, FOX NEWS waliogozana na...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya...
17 Reactions
96 Replies
4K Views
Kitendo cha Israel kwenda on ground huko Gaza kina kila dalili ya kuleta mapigano heavyweight na ndo maana US amesogeza meli nyingine na Israel amesita kwanza kwenda kichwakichwa. Waziri wa...
22 Reactions
463 Replies
25K Views
Waziri mkuu wa Israel, Benjamini Netanyau amenukuliwa akisema kwa jeuri na majivuno kuwa, jeshi la Israeli (IDF) litafika kila eneo lisiloweza kufikiwa huko Gaza na hakuna kima, pimbi au mende wa...
23 Reactions
84 Replies
6K Views
Back
Top Bottom