Russia has imposed a ban on the export of diesel and gasoline to all western countries, with the exception of only few countries like Armenia, Belarus, Kazakhstan and Kyrgyzstan.
This decision...
Nchi ya Afrika ya kusini imeweka azma ya kufungua mashitaka dhidi ya taifa la Israel na waziri mkuu wake Benjamin Netanyahu kufuatia ukatili na mauaji wanayoendelea kufanya Gaza.
Rais Ramaphosa...
Mzuka wanajamvi,
Jeshi tukufu, takatifu na Teule la Israel IDF lapiga picha wakiwa ndani ya jengo la bunge Gaza huku wakipeperusha bendera ya taifa teule la Israel wakiwa na furaha.
Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka...
Wanaukumbi,
Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina.
Swali basi ni, nani...
Kila nchi hapa duniani kuna madhabahu na mungu wa hiyo madhabahu. Kila jamii ina ibada na kuna maagizo yakufuata.
Wale ambao wanampigania mungu wao na kupigwa inakuwa na tafsiri gani? Yule mungu...
1. Waislam ni ndugu. Hii ndio imani ya waislam
2. Waislam wapenda haki. Isreal imevamia ardhi ya watu wa Palestina na kuwanyanganya
3. Masjid Aqswa hawawezi kuwachiwa mayahydi waifugie nguruwe
4...
Tarehe 15, Novemba kwa saa za Marekani, dunia nzima inaelekeza macho Philori Manor mjini San Francisco, ambapo Rais Xi Jinping wa China alialikwa na kuwa na mkutano wa saa nne na rais Joe Biden wa...
Israel iimefanya mauaji ya watoto, wanawake na raia wasio na hatia kwa kuipiga mabomu hospital kuu Gaza kwa kisingizio kua ni chini kuna makao makuu ya HAMAS,wamefichwa mateka na ni hifadhi ya...
Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari...
Miili ya wanajeshi 16 Israel ikiwa majivu baada kupata kipigo..
They are no longer cheering and dancing “we got Gaza all the children are dead now do they. ?
[emoji736]God almighty works in...
Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati.
=========
Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were...
Vita kumbe bado viko hatua za mwanzo sana na yajayo yatafurahisha.
Inashangaza sana nchi za kiarabu kumuogopa simba ambaye ameshachoka kujitetea
Habari mpya ni kwamba jeshi la Israel huenda...
Umoja wa Mataifa umesema unalazimika kusitisha Mazoezi yake ya Utoaji Misaada ya aina mbalimbali huko Gaza kwa sababu ya kukosekana Mafuta katika eneo hilo
Source: BBC news
Sjawahi kujua ni kivipi Israel huwa ni vigumu kupigika.
Ukiondoa hiyo Imani ya kusema ni taifa la Mungu, lakini Je, Mungu hachukii kisirani?
Mbona hicho kitaifa kina watu na viongozi wenye...
Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa...
Kiaongozi wa Iran Ayatollah awasuta wanaoshangaa kwanini Iran imeishindwa kufanya chochote kwenye huu ugomvi, asema jinsi vile vile haikuombwa ushauri kabla kulianzisha basi wapambane tu huko na...
Ikiwa ni zaidi ya mwezi sasa tangu vita vianze na huku jeshi la Israel likisema limeizingira Gaza yote kwa vifaru na kubomoa mahandaki yanayotumiwa na Hamas,ghafla leo kombora zito la masafa...
Hospital ya Alshifa Makao makuu ya jeshi la Hamas wakati wa ukoloni yalikuwa Makao makuu ya Jeshi la Mwingereza
Mwingereza alipoondoka hayo makao makuu ya Jeshi la Mwingereza ikageuzwa Hospitali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.