Ilipo Africa Kusini basi Tanzania tupo kwani sisi ndio tuliwasaidia kupata Uhuru
Tumtakie kila la Kheri Rais Ramaphosa katika huo mkutano muhimu sana wa Viongozi 20 wa Dunia
Nawatakia Sabato Njema 😄
Salaaaam, Shalom!
Uchokozi kati ya wafilisti na Waisraeli haukuanza leo, kupata ukweli hasa wa swali la mada hapo juu, inabidi tupitie maandiko.
Pia usomapo thread hii, uwe na uwezo...
Hili suala tulikuwa tunalisema humu kuwa Congress kuna mvutano kuhusu misaada ya Ukraine mpaka kuchochea kuenguliwa kwa aliyekuwa spika wa congress bwana Mccarrhy.
Hatimaye ikulu ya Marekani...
Hii leo muda mfupi kuanzia sasa malori 20 ya misaada yataanza kuvuka mpaka wa Misri na Gaza kupeleka misaada kwa Wapalestina waliozingirwa Gaza.
Misaada hiyo itakuwa ni ya mwanzo na aliyoitaja...
Mojawapo ya mataifa yenye nguvu za kiuchumi duniani Urussi wameingua makubaliano ya kuanza ujenzi wa 'Siberia 2' ikiwa ni bomba litakalosaidia kuongeza mauzo ya nishati hiyo toka Gazprom kwenda...
Salaam wanajamvi!
Leo nimekamilisha kusoma kitabu cha Martin Luther kuhusu Wayahudi kwa mara ya tatu. Kwa yaliyomo kitabuni nimegundua kuwa viongozi wa kikristo wanamtazamo mkali dhidi ya...
HAMAS walihojiwa na kuomba vita viishe waingie kwenye majadiliano, ila Israel inaendelea kupelekea moto na imechukua na kukalia eneo lote la Gaza na imeamua kufanya kitu ambacho kitakua suluhu kwa...
Taasisi ya Kutetea Waandishi wa Habari (CPJ) imesema Waandishi 22 waliopoteza maisha kutokana na vita inaendelea iliyoanza Oktoba 7, 2023, Raia wa Palestina ni 18, Israel (3) na Lebanon (1).
CPJ...
Wengi wamehojiwa na kusema kwa walivyopokewa yaani hawajaona upendo kama huo kwa muda mrefu.
Hongereni sana Wakristo kwenye hilo kanisa, waonyesheni inawezekana kuishi na watu bila kuwachinja kwa...
Baada ya mwanajeshi wa Misri kuwaangamiza, sasa wanajeshi wa Israel wanagwaya kutumwa mpaka wa Misri
Baadhi ya duru za kuaminika za utawala wa Kizayuni zimetangaza kuwa, wanajeshi wa Israel wana...
Tumeona wachezaji kadhaa waliojitokeza kulaani mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza wakitishiwa kufukuzwa kwenye klabu zao na kusimamishwa, haswa Ujerumani ambapo zaidi ya wachezaji...
Nipo zangu nje na shangaa Kila kukicha hakuna zaidi ni kuku tu na kitimoto.
Nikajiuliza tatizo ni nini?
Ufugaji wa mifugo kama ng'ombe sio kama kwetu Yani mazingira Yao ufanya kuwa hadimu na...
Iran amekuwa wazi ya Israeli ni uovu usiokubalika na wao kama nchi hawatakuwa watazamaji.
Israel kaamuriwa na baba yake, hakuna kuivamia Gaza isije kuwa taabu Bure! Aachie maji na mafuta haraka...
The Israeli military has confirmed that 126 people are currently being held as hostages by Hamas, IDF spokesman Richard Hecht has said. It was initially estimated that some 150 Israelis and...
Baada ya hospitali maarufu kupigwa bomu hapo jana na wagonjwa na madaktari 500 kuuliwa, leo imekuwa ni zamu ya kanisa na misikiti iliyojaa wakimbizi kuripuliwa na majeshi ya Israel.
Hayo...
Tume ya Umoja wa Afrika imekuwa muhanga wa uhalifu wa mtandaoni baada ya matapeli kutumia akili bandia ili kumuiga mkuu wa tume hiyo Moussa Faki na kuilenga miji mikuu ya nchi za Ulaya.
Huu...
Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15
Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka...
Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko...
Kinachoendelea Ulaya baada ya mchezaji wa Mpira Kareem Benzema kuonesha kuwa anaisupport Palestina
— France officially accuses him of being member of the Muslim Brotherhood
— MP in France wants...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.