International Forum

News and Stories from rest of the World
Kumekucha hatimaye mzigo wa ATACMS Umefika uwanja wa mapambano....wako wap waliosema USA hawezi kupeleka ATACMS Ukraine? Long-range guided missiles that were secretly shipped to Kyiv hit...
1 Reactions
6 Replies
931 Views
More than 100 protesters were surrounding the U.S. embassy carrying Palestinean flags, according to Reuters The protest was driven by a Hezbollah statement for people around the Arab world to...
11 Reactions
78 Replies
5K Views
Mainz kutoka Ujerumani imemtupia virago Anwar el Ghaz. Mwarabu huyo mwenye uraia wa Uholanzi alichapicha kwenye mitandao ya kijamii akiashiria kuwaunga mkono magaidi. Ikumbukwe Waziri wa Kigeni...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Rais Biden wa USA ametua Kwenye Uwanja wa ndege wa Tel aviv israel na kupokelewa na mwenyeji wake mh Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa Israel Ulinzi ni mkali mno hata mbu anashughulikiwa Source...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanalalamika eti urusi anatumia chakula kama silaha,Tena wakamchafua Kila Kona ya Dunia,Leo Israel anazuia maji,chakula ,umeme na huduma nyingine HAWA HAWA MAREKANI WANASEMA ANAHAKI YA KUJILINDA...
4 Reactions
10 Replies
973 Views
Ikumbukwe Bwana Blinken alishindwa kazi ya kuishwawishi Misri kuwapokea Wapalestina na nchi za kiarabu kumkataa, pia Israel walimgomea kusitisha mashambulizi ya anga wala kuruhusu misaada ya...
0 Reactions
3 Replies
597 Views
Wanaukumbi. The American Wall Street Journal: “The bomb that was dropped on Baptist Hospital was an American MK-84,” which can only be deployed by a plane that hamas dont have any. Gaza's health...
10 Reactions
86 Replies
8K Views
Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine...
5 Reactions
115 Replies
6K Views
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao. Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa...
10 Reactions
146 Replies
12K Views
Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza Tuzidi kuwaombea Source...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Kumekuwa na Kauli kinzani kati ya viongozi wa Israel na jumuiya ya kimataifa. Wakati Israel ikitumia makosa ya HAMAS kufanya malipizi kwa raia wasio na hatia.Wakati Israel wakisisitiza wapalestina...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hatimaye baada ya Bwana Blinken kufeli kwenye kazi aliyotumwa sas Bwana Mkubwa ametinga mwenyewe Tel Aviv kuhakikisha mambo yanakaa sawa. Msemaji wa baraza la usalama la Marekani amesema Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Serikali ya Israel imetoa onyo kwa washirika wa Hamas kuwa wakiingilia hii vita basi Israel haitakuwa peke yake kinyonge. Amesisitiza kuwa Marekani itaingia pia kuisaidia Israel dhidi ya Iran na...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Of 1948 Kashmir acceds to India: Pakistan must be tamed on terrorism to modern world
0 Reactions
1 Replies
309 Views
Ikiongozwa na uelewa kuwa changamoto za dunia zinahitaji ushirikiano wa pamoja, China imefungua milango yake kwa nchi zote na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda, kupitia program na...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi...
1 Reactions
0 Replies
389 Views
Abdifatah Moalim Nur maarufu kwa jina la Qeys aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV amefariki kwa shambulio la bomu wakati alipokuwa kwenye mgahawa katika Mji Mkuu, Mogadishu. Anakuwa Mwanahabari wa...
0 Reactions
5 Replies
932 Views
Back
Top Bottom