Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kutembelea Israel kesho Jumatano katika kile kilichoripotiwa kuwa ni kuthibitisha kujitolea kwa Marekani kwa usalama wa Israel, hatua hiyo inakuja huku...
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
Polisi
Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja...
Rais wa Ukraine alikuwa amepanga kuongozona na Blinken kwenye ziara yake huko Israel kwa lwngo la kuonesha mshikamano lakini Israel wamemkatalia.
Wakati huo cancellor wa Ujerumani, rais wa...
Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini.
Na hapo bado wanasema kuna...
Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi.
Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa...
Raisi wa Marekani ameonya kuwa kama lwngo la Israel kutaka kuikalia gaza ,hili litakuwa ni kosa kubwa sana.
Lakini pia amesisitiza kuwa USA haitashiriki kwenye hii vita kwani anaamini Israel wana...
Wiki kadhaa zilizopita Iran na marekani walifikia makubaliano ya kubadilishana wafungwa.
Makubaliano hayo yalihusisha kuachiliwa zaidi ya Dolla billion 6 (zaidi ya trillion 12 za kitanzania) ...
Hii ngoma bado mbichi na ndo kwanza inaanza. Viongozi wa US hawakauki Qatar kumbe hii ndo sababu.
Nadhani ni katika sababu za IDF kuswitch Offensive Mode kwani jana Biden alikuwa anaongea na...
Baada ya presha kubwa toka jumuiya ya kimataifa na kuonekana kutoungwa mkono kwa uhalifu dhidi ya binadamu uliokuwa unaendelea hapo Gaza hatimaye US wameishinikiza Israel kuanza kirejesha maji...
■Vita na miji mingi kuitafuta nchi ya ahadi
■Njaa kali na kukimbilia Misri
■Kufanywa utumwa misri
■Ardhi kuchukuliwa na Philistine
■Kuitafuta Israel miaka 40
■Vita za miaka mingi dhidi ya...
Kuhamisha watu milioni moja sio kazi rahisi kihivyo, ukizingatia wote hawa wanateseka bure na hawakuyataka haya, majengo yao yote yanasambaratishwa na kuwa mashamba na magofu, na wanaenda kuteseka...
Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel.
wote wanakubali existence ya...
Hawa hawa Iran ndio wamekua wakibwatuka maneno mengi na mikwara, leo wanabadilisha gia eti israel ikiacha mipango ya kuvamia basi mateka wataachiwa huru, kitu ambacho HAMAS wamekana na kupishana...
Hili taifa la Iran ni moto wa kuotea mbali. Kauli moja tu ya kutishia kwamba wataingia Gaza imewafanya kina Netanyahu waanze kujitafakari kutia pua zao Gaza wakaanza kuleta visingizio kuwa ni hali...
The spokesperson for Hamas’ military arm, Al Qassam Brigades, stated that there are around 250 prisoners in Gaza, including both Israeli and foreign individuals, with 200 of them exclusively under...
Baada ya Bwana Blinken kushindwa kuelewana na mataifa ya kiarabu hivyo kuwa ngumu kuunganisha ajenda ya US katika eneo hilo. Pia Israel imewagomea West kuhusu kuruhusu misaada ya kibinadamu...
Baada ya majibizano makali kati ya balozi wa Israel nchini Colombia na serikali ya Colombia hatimaye Colombia imeamfukuza balozi huyo.
Rais wa Colombia alienda bali zaidi na kukumbusha kuwa HAMAS...
Iran imeshambulia kwa makombora makali meli bandia ya kivita ya Marekani katika mlango bahari wa kimkakati wa Hormuz.
Zoezi hilo lilishirikisha mashambulio makali hatua iliofanya kambi mbili za...
Aug 10, 2023 07:44 UTC
Wataalamu wa kijeshi na wahandisi katika Wizara ya Ulinzi ya Iran wameripotiwa kubuni teknolojia ya kutengeneza ndani ya nchi kombora la kisasa la cruise kenye uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.