International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu 12 wamekamatwa katika Maandamano hayo akiwemo Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Vyombo vya Habari vya Guinea (SPPG), Sekou Jamal Pendessa, kwa pamoja wameitisha Maandamano wakiitaka...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha. 'Very clear' Iran is moving...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa...
1 Reactions
2 Replies
449 Views
Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa Ukanda Mmoja, Njia Moja utafanyika Beijing. Ikiwa moja ya nchi 52 za Afrika ambazo zimesaini kumbukumbu ya maelewano ya ushirikiano katika...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kipindi chote ambapo Marekani imekuwa taifa kubwa ushawishi wa wayahudi nchini humo umekuwa mkubwa. Ushawishi wa Marekani nao kutoka na nguvu za kiuchumi umeweza kudhibiti hata mawazo na tamaduni...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi, mwenye hikima hakika wewe unaijua shida wanazopata ndugu zetu wapalestina. Basi wape nusra na faraja ndugu zetu waislamu walioko palestina Ee...
2 Reactions
68 Replies
2K Views
Kuna hili andiko la kiislamu linaloonekana kuamrisha Wayahudi wachinjwe hadi ambao watakuwa wamejificha nyuma ya mawe, je inawezekana kuwa sababu za hizi chuki? sahih muslim 2921 Abdullah b...
12 Reactions
137 Replies
5K Views
Hivi karibuni Wananchi wengi wa Iran walianza kusanuka na system iliowajenga kwa miaka na miaka. Wamekuja kugundua wao wanatumika kama instruments za sera za chuki na unyonyaji za mamlaka ya Iran...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya siku za hivi karibuni kuhusishwa na mpango wa kutuma wanajeshi kwenda kujiunga na Hezbollah kuipiga Israel, uongozi wa Taleban umejitokeza na kukanusha tuhuma hizo. Taleban imetamka wazi...
7 Reactions
64 Replies
5K Views
Wengi tunatazama mgogoro wa Palestine na Israel katika sura ya kidini,ila ukweli ni kua kinavhogombaniwa hapo ni ardhi na pia maslahi ya nchi kama Marekani na wabia wake kwenye kulinda maslahi yao...
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Licha ya mazungumzo ya kutosha na Bwana Blinken Misri wamwgoma kupokea Wakazi wapatao 600 wa Gaza wenye uraia Pacha wa Palestina-US. Misri wamwgomea hilo wakidai kuwa bila kuruhusiwa kwa misaada...
0 Reactions
5 Replies
695 Views
Kwenye kitabu cha Matayo 21:42-46, Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni la ajabu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa (UN) umedai kuwa umejulishwa na Jeshi la Israel kuwa Wakazi wa Gaza Kaskazini wanatakiwa kuwa wameondoka eneo hilo ndani ya Saa 24. UN imesema jambo hilo ni gumu kutekelezeka kwa...
13 Reactions
139 Replies
11K Views
Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake. Alipofika kwa Rais wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Martti Ahtisaari Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Protase Rugambwa ni kati ya Makardinali watatu pekee kutoka Afrika waliopewa Hadhi ya kuwa Makadinali wa Kanisa Katoliki leo Septemba 30, 2023. Baada ya kupokea hadhi hiyo, Rugambwa ambaye ni...
7 Reactions
40 Replies
7K Views
Mazungumzo yanaendelea vizuri sana,. Inasemekana HAMAS wamekubali kwa masharti kuwa Israel waache kushambulia Majengo na kuuaraia, pia misaada ya kibinaadamu iruhusiwe kuingia uwanja wa vita. Mi...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watapiga Kura za Kuchagua Rais, Wabunge na Wawakilishi wa Mabaraza ya Majimbo ambapo Kampeni rasmi kwa Wagombea wote zitaanza Novemba 19, 2023. Kati ya...
0 Reactions
1 Replies
765 Views
Egypt, nchi ya kiarabu iliyopo Afrika inayopakana na Nchi ya Palestina kwa upande wa Kaskazini imekataa kabisa kuwapokea wanawake, watoto, vijana wasio wanajeshi pamoja na wazee kutoka Gaza Siku...
22 Reactions
121 Replies
8K Views
Daniel Naboa Mfanyabiashara huyo wa chama cha mrengo wa kati-kulia, mwenye umri wa miaka 35, atakuwa rais wa kwanza mwenye umri mdogo zaidi Ecuador. Lakini anakabiliwa na changamoto kubwa. Baada...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom