Huku uvamizi ukiwa tayari kuanza muda wowote, Israel wanaendelea na fagia fagia za HAMAS, wanafyeka sio mchezo.
===========================
The Israeli military said it killed a Hamas commander...
Wana JF leo nimeamua kuanza kuielezea North Korea. Kuna watu wengi sana wanaijua North Korea kwa mambo hasi(Negatives) kutokana na propaganda nyingi sana za watu wa magharibi. Nitaongelea...
Operesheni bado iko pale pale....
=======
The evacuation of residents from the Gaza border town of Sderot is set to begin in the coming hours.
The municipality emphasizes that evacuation is not...
Mvua kubwa iliyonyesha kusini mwa Burundi imesababisha vifo vya watoto wanne baada ya kanisa walimokuwa kuporomoka huku watu wengine 15 wakijeruhiwa siku ya Jumapili, kulingana na afisa wa eneo...
Waziri wa diplomasia za kimataifa wa ujerumani Nancy feaser amesema wanaoliunga mkono kundi hilo wanapaswa kutimuliwa kutoka ujerumani
Hotuba hiyo imeungwa mkono lars kingbel kiongozi wa chama...
Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China...
Rais Cyril Ramaphosa wa South Africa ametangaza kuwaunga mkono Wapalestina huku alisema kwamba wanaadhibiwa Kwa kupigania Ardhi Yao ubaguzi kutoka Kwa Mabeberu wa Kiyahudi (occupation and...
Kikosi cha jeshi cha Hizbollah ni kikosi cha waislamu wa dhehebu la Shia ithna asharia kinachopata mafunzo na udhamini kutoka kwa jamhuri ya kiislamu ya Iran. Ikifika tarehe 14 Agosti 2016...
Wizara ya ulinzi ya Israel imetoa masaa 24 kwa raia wote waishio upande wa Gaza Kaskazini kuondoka mara moja. Raia hao wameamriwa kuelekea upande wa kusini mwa Gaza haraka iwezekanavyo. Taarifa...
I do predict that we are at Edge of World War 3 if the UN Organization continues it's failure like previous before world War 2.
This Organization has showed up a huge difference, and weakness...
Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha...
Israel walitoa amri watu waondoke Gaza, amelfu wakatii ila kunao wengi waliona kama mkwara wakabaki, wamelipuliwa wakaanza kutoka nduki, miili ya watoto imetapakaa pembezoni mwa barabara, inataka...
Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo...
“One would have to be almost hopelessly naïve to buy the corporate state media line that the Hamas invasion was an Israeli “intelligence failure”. Mossad is one of, if not the, most powerful...
Tatizo lilopo Palestina ni la muda mrefu kutokea kwenye unyakuzi wa maeneo yaliyokuwa ya wapalestina kufanywa taifa la Israel. Pia unyakuzi wa maeno zaidi ulioendelea kufuatia vita mbali baina yao...
Kwa mara nyengine viongozi wa Iran wameionya Israel iache unyama wake inaoufanya huko Gaza haraka kabla haijakumbwa na tetemeko la upinzani.
Kauli hiyo imetolewa na Iran huku wanamgambo wa...
Yafatayo ni mahojiano na Miko Peled.
Mwanaharakati Myahudi wa Israel na Marekani Miko Peled anaelezea kile Israel inakifanya na kwa nini wanafanya hivyo. Pia anaelezea baadhi ya historia yake...
Waziri wa fedha wa Ukraine amelalamika kuwa rafiki zao wa magharibi wameanza kupoteza focus yabkuisaidoa nchi yake kwa sababu ya matatizo yanayotokea mashariki ya kati.
Aliyasema hayo leo kwenye...
Hitler ni moja ya madikteta maarufu kuwahi kutokea duniani.
Alizaliwa April 20 1889 nchini Austria karibu na mpaka wa Germany na Australia.
Sababu kuu ya kuwaua wayahudi ni baba yake Adolf...
Waandishi walioko mstari wa mbele kwenye vita ya waisrael na magaidi ya Hamas, wanasema wanasikia sauti za mamia ya wanamgambo wa hamas wanaopiga kelele za uchungu.
Ikumbukwe raia wema wanaopenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.