Bloomberg inaripoti kuwa USA inahofia kuwa Israel watakapoingia Gaza kuna nchi maadui na makundi mengine yataingia kati na kusababisha machafuko makubwa sana kuwahi kutokea Mashariki ya kati...
Hili taifa linazidi kuchanganyikiwa! Huu ni ukichaa na uwendawazimu kushambulia makanisa na misikiti ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu
My take: Maombi ya kuiombea Israel kwa watu walokosa uelewa...
Marekani wameanza kutoa stock iliyokuwa kwenye ghala zao huko Israel kwa matumizi ya vita ya Gaza.
Ukraine walikuwa wanapewa silaha hizi (Arillery Shells) kutokea kwenye ghala hili na lingine...
Rais wa Marekabi ameionya Israel kuhusu kushambulia Raia na kuwaambia "wasipofushwe na hasira".
Amewakumbusha na kuwatqka kuheshimu sheria za Vita na kutoingia katika mtego wa hasira katuka...
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha...
Habari za hivi punde mlipuko mkubwa umetokea kwenye kambi ya Jeshi la MAREKANI,
An attack on an American air base in Iraq.
Euronews has just urgently reported on a powerful explosion at the...
Na, Robert Heriel Tz
PART 1: SAFARI YA TERA
Huwezi zungumzia Taifa la Israel bila kumzungumzia Tera. Wazo la Israel kwenda Kanaani (Palestine) ya leo liliasisiwa Tera.
Tera ndiye Baba wa...
Ameandika John heche,
Afrika ina viongozi wengi wajinga mno. Na matokeo ya ujinga huo unaambukizwa mpaka kwa Wananchi.
Gabon ni Nchi yenye kilometa za mraba 267,667 ina idadi ya watu milioni...
Huku ikielezwa umebaki muda mfupi jeshi la Israel lianze kujingia Gaza kupigana mitaani na wapalestina,waziri mkuu wa Uiengereza naye ametua uwanja wa Ben Gurion kuonana na waziri mkuu wa Israel...
Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na...
Kucheleweshwa kwa zoezi la vikosi vya Israel kuingia Gaza kuna watu wanaamini kuwa ni woga wa Israel kupata kipigo kutoka kwa vikosi vya wanamgambo wa Hamas na wenzao huko Gaza kama ilivyokuwa...
Mjane wa mwanahabari maarufu wa Pakistan anaishtaki serikali ya Kenya kwa "mauaji yanayolengwa" ya mumewe.
Javeria Siddique aliwasilisha kesi jijini Nairobi siku ya Jumatano kwa mauaji ya...
Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo...
Recently kumeongezeka hali ya ugaidi, usalama mdogo na itikadi kali Ufaransa.
Na mengi ya haya majanga yanafanywa na wahamiaji na wasaka hifadhi walioingia kwa ruhusa ya ufaransa na wengine kwa...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika...
Donald Trump aweka rekodi ya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kukanyaga ardhi ya Korea Kaskazini kwa mujibu wa ripoti ya White House.
Katika moja ya ziara aliyowahi kuifanya Donald Trump ambayo...
Aisee nimesoma hii habari, polepole nikaja na jawabu Russia is very powerful aisee[emoji119]
Lakini nikaja na jibu lingine kuwa US is Mighty.
Kaaaah.
Kule Congress bado kuna mvutano, Bw Jordan...
Israel imefanya mauaji ya kutisha huko Gaza kwa kulipua hospitali ya kanisa inayotoa msaada kwa wapalestina huko Gaza.
Mwanzoni aliyewahi kuwa msaidizi wa Netanyahu katika mambo ya Media akatweet...
Huyu mzee daaah[emoji119][emoji1787][emoji1787]
Inshort anajua kucheza na muda na mazingira. Hizi sound anazowapiga wayahudi kuonesha wameonewa sana Lengo hasa ni wakubali kuruhusu misaada ya...
Sio kawaida ya huu mkoba ambao unaitwa "Cheget" kuonekana hadharani, lakini imembidi Putin kutembea nawo baada ya kuhofia kamata yoyote kwa ajili ya ICC.
==================
Russian President...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.