International Forum

News and Stories from rest of the World
Nyambizi titan iliyopotea kwa siku 5 sasa, ikiwa na abiria 5 mabaki yake yapatikana na walinzi wa pwani. Chanzo BBC ====== Mabaki yameonekana kwenye eneo la utafutaji wa nyambizi ya Titan...
7 Reactions
53 Replies
8K Views
https://gagadget.com/en/war/271396-ballistic-iskanders-hypersonic-kinzhals-and-strategic-kh-101-kh-555-ukrainian-air-force-destroys-157-missiles-in-a-mo/
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Trump hakutaka masihara katika sera ya uhamiaji (Immigration). Jamaa hakutaka huruma katika borders zake haswa south border panapo pakana na Mexico. Jamaa alifanya green card iwe hadimu na...
8 Reactions
72 Replies
8K Views
Kutokana na skendo za Unyanyasaji wa kingono kwa Watoto, zaidi ya waumini 520,000 walitangaza kuachana na kanisa katoliki kwa mwaka 2022, hili ni ongezeko la 44% ukilinganisha na waliojitenga na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wizara ya Mambo ya Nje nchini Iran imewashauri Wairani dhidi ya kufanya safari zisizo za lazima nchini Ufaransa huku kukiwa na machafuko yanayoendelea. Pia Wizara hiyo imeishauri polisi na...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndege za Marekani mbili zatimuliwa kama mbwa koko baada ya kuingia kwenye anga la Urusi. Kwa dharau mrusi akatuma ndege moja kuzifusha ndege za mbili Marekani. Ndege iliyotumwa ni aina ile ile ya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kiongozi wa upinzani nchini humo, Ousmane Sonko ametoa wito kwa umma kujitokeza kwa wingi mitaani kupinga Rais Macky Sall kuwania muhula wa tatu, jambo linalotajwa kuikiuka Katiba ya Senegal Rais...
0 Reactions
1 Replies
856 Views
1.Australia ni bara pia ni nchi. Ni bara dogo kuliko yote duniani, na ni kisiwa kikubwa kuliko vyote katika Sayari Hii. Ni Kisiwa kilichoko kusini mashariki Mwa Dunia. Mji mkuu unaitwa Canberra...
8 Reactions
21 Replies
10K Views
Yuval Noah Harari says “non-organic entities” and “emotionless algorithms” will soon dominate Earth, in other words, AI takeover is coming soon Tuesday, June 13, 2023 An Israeli-born World...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana, katika hali isio ya kawaida kwa vyombo vya habari vya Magharibi namaanisha CNN, BBC, DW, FOX News, France 24 na kadhalika, nilitegemea haya maandamano yanayoendelea huko...
10 Reactions
96 Replies
6K Views
Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Maandamano makubwa mawili yanayohusu mabadiliko ya mfumo wa pension na kijana wa kiarabu aliyepigwa risasi na polisi yaliyoikabili serikali ya Macron, Ufaransa mwaka huu kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Burundi, Sylvester Nyandwi amesema, Alain-Guillaume Bunyoni anashikiliwa baada ya kukamatwa akiwa amejificha eneo la Makazi ya Raia huko Kabezi, Bujumbura. Tume...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Mnamo Juni 9, 2020 aliyekuwa Rais wa Burundi kwa miaka 15 Pierre Nkurunzinza aliaga dunia. Ingawa serikali ya nchi yake imeeleza ya kuwa amefariki kufuatia mshtuko wa moyo, vyombo vya habari...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
In the sparsely populated Karoo desert in the heart of South Africa's Northern Cape, the spirit of apartheid lives on. I spent a few days in Orania, a town established in 1991 where no black...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Urusi ni taifa la kihuni sana, yaani hao Wagner wana wanachama kwenye kila nyanja hadi majenerali na wakuu jeshini wana uanachama humo, wana namba za usajiri, huyu jenerali mkuu jeshini alikua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukrainian servicemen of the 10th Mountain Assault Brigade "Edelweiss" shift position after firing rockets from a BM-21 'Grad' multiple rocket launcher towards Russian positions, near Bakhmut in...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jonathan Vero kutoka Kikosi cha Zimamoto nchini Ufaransa, ameweka rekodi mpya ya dunia baada ya kukimbia umbali mrefu zaidi huku akiwaka moto bila kutumia vifaa vya Oksijeni. Hata hivyo, katika...
2 Reactions
3 Replies
864 Views
30(06)1960 ndo tulipata Uhuru wetu kutoka kwa Wabeljiji, lakini ukicheki vizuri hatuja pata Uhuru sisi. Na sioni sababu za kusherekea Uhuru huku bado ndani ya nchi yetu kuna vita bado tunateswa...
2 Reactions
4 Replies
588 Views
Back
Top Bottom