International Forum

News and Stories from rest of the World
Kampuni ya Uwakala wa Usafiri Mtandaoni ya Trip.com Group imesema itaanza kumlipa kila Mfanyakazi wake Yuan 50,000 (Tsh. Mil 16.6) kwa kila Mtoto mmoja atakayempata kuanzia July 01,2023 hii ikiwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Mgogoro na vita baina ya Jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF umeingia siku ya 10 huku kukiwepo na amri ya kusimamishwa mapigano kwa masaa 72. Amri ya kusimamisha mapigano kuruhusu uokozi wa raia...
28 Reactions
80 Replies
6K Views
Ukraine na washirika wake(west) walitumia miezi kadhaa kutoa mafunzo na siraha kwa kuandaa brigeds tisa mpya pamoja na brigedi za ziada ambazo zingefanya kazi kama reserve Mahususi kwa ajili ya...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi...
8 Reactions
79 Replies
4K Views
Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Chanjo hiyo imetengenezwa kwaajili ya kupambana na Kirusi aina ya Sudan (SUDV) ambacho kiliingia Uganda mwaka 2022. SUDV kiligundulika kwa mara ya kwanza Nchini Sudan mwaka 1976 na baadaye...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Baada ya Prigozhin kuwasili rasmi nchini Belarus jana jumanne, NATO wameanza kulialia na kulalamika kuwa kuhamishwa kwa kiongozi wa Wagner, Prigozhin, na askari wake nchini Belarus kunahatarisha...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Vyombo vya Magharibi viko busy na mambo ya Urusi pekee ilihali Ufaransa moto ikiwaka Balaa, yaani huwezi ona hata facebook. Maandamano yangekuwa ni Iran au Russia habari zingetapakaa Social media...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mahakama ya Paris imemhukumu Askari polisi wa zamani wa jeshi la Rwanda baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya halaiki na uhalifu dhidi ya ubinadamu wakati wa mauaji ya mwaka 1994 nchini mwake na...
2 Reactions
1 Replies
693 Views
Rais tinubu wa nigeria amezua mjadala nchini humo baada ya kutembea na msafala wenye magari zaidi ya 100. Msafara huo umezua mjadala nchini humo hasa katika kipindi hiki ambacho ruzuku ya mafuta...
2 Reactions
13 Replies
939 Views
A bombshell on vaccines by Robert F.Kennedy Jr.:Of the 72 Vaccines now given to American Children and some of those in other countries throughout their childhood (Video),non has ever received a...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Haya mambo ya mahasidi wa Putin kufa kwa kurushwa dirishani yalikua yametulia, naona yanarejea tena... RUSSIAN bank vice-president has mysteriously died after plunging from a window at her...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu ni mfungwa wa Zamani, aliyekaa Jela kwa miaka 9 kuanzaia miaka ya 1980,s mpaka miaka ya 1990 alipoachiwa kutokana na purukushani za kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
US presidential administration officials are concerned about the slow progress of the Ukrainian Armed Forces' counter-offensive. The New York Times reports that, despite public calls for...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati Nigeria ikipitia changamoto kadhaa za kiuchumi ikiwemo gharama za maisha zilizopelekea kuongezeka kwa gharama za maisha, Wananchi wameshangazwa na Msafara wa Rais #BolaTinubu, wa Magari 120...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ameapa kwamba mwaka huu wa 2023 utakuwa mwaka wa ushindi dhidi ya uvamizi wa Urusi, huku Muungano wa Kijeshi wa NATO ukisema dhamira yake ya kuiunga mkono...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Rais Lukashenko wa Belarus amesema kuwa Putin alitaka kum-wipe out (kumdedisha) Prigozhin alipokuwa kwenye jaribio lake la uasi dhidi ya Waziri wa Ulinzi wa Urusi. Badala yeke Lukashenko...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kutokana na watu wengi kutumia zana za kidijitali katika shughuli zao za kila siku, Tume ya Ulaya Jumatano ilipendekeza kuanzisha Euro ya kidijitali(cryptocurrency). Sarafu za kidijitali zimekuwa...
2 Reactions
3 Replies
665 Views
Putin anaendelea kumtafuta mchawi wake huku ikiwa tayari ametangaza kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wa Wagner kwa uhaini walioufanya. Hivi sasa ameagiza mamlaka husika kuanza...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom