Ninavojuwa kabla ya kundi la Wegner kuanzisha uasi walikuwa ndio wahusika wakuu wa vita katika jimbo la Bakhmut na ndio ambao walikuwa wanalishikilia jimbo hilo.
Sasa najiuliza: je, waliamua...
Habari ya jioni wakuu.
Leo kutwa nzima kulivuma habari kuwa vikosi vya wagner vinavyotumiwa na Rais wa Urusi kufanya mashambulizi katika nchi ya Ukraine, vimekenguaka na kuvamia Urusi kwa...
The past day has been wild and confusing. We covered the events from start to end LIVE in our 24-hour Twitter Space.
Here's everything that has happened since the 'coup' failed:
- We know that...
Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini...
Kimsingi waafrika walikuwa wanawaona Wazungu kama watu wenye akili nyingi ma matajiri sana kuliko wao, lakini vita ya Ukraine imekanusha ujinga huu wa fikra hizi za inferiority/udhaifu dhidi ya...
Mikhail Kasyanov, Waziri mkuu wa zamani wa Russia chini ya utawala wa Putin aliyegeuka kuwa mpinzani na kuhamia uhamishoni nchini Latvia anasema dirisha la fursa la Putin kumaliza uasi nchini...
Wakati bado zoezi la kuhesabu kura linaendelea kwa siku ya 2 baada ya uchaguzi mkuu, pande zote mbili tayari zimetangaza kushinda huku ikiwa bado haijulikani ni nani anaongoza katika...
USDA approves first lab-grown meat in U.S, but Scientists, food safety experts aren’t sold on it
The U.S. Department of Agriculture on Wednesday approved the sale of lab-grown meat for the first...
Wale ambao huwa mnamdharau Zelenskyy kama Comedian tu uasi wa Wagner group dhidi ya "mtume" wenu Putin umewaacha watupu na aibu kubwa sana na umewafundisha kiongozi bora ni nani kati ya hao wawili...
Huyu ndio Wagner walikua wanalalamika kumhusu na kusababisha wambabaishe Putin kwa kuthubutu kutaka kuiteka nchi, jamaa alikwenda underground hadi leo ndio kaibuka na kuonekana akiongea ongea...
Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa...
Mzuka wanajamvi!
Urusi wasikubali tena kina Ramaphosa na viongozi wengine kutoka Afrka kwenda Urusi eti kupatanisha. Hawaendi kupatanisha bali kuroga.
Yani baada ya kwenda na kuondoka urusi...
Ujasusi ndiyo unaongoza dunia. Matukio mengi na michezo ya kisiasa mengi huchezwa kijasusi zaidi. Ujasusi hutumia aina mbili za matukio ambayo ni :
(a) Tukio la uongo: Hapa hutengenezwa tukio la...
Katika muendelezo wa kinachoonekana ni uasi kwa serikali ya Urusi Wagner group wanaripotiwa kutekea na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mji wa Rostov. Misururu ya wapiganaji wa Wagner katika...
Ukilea jini kubali iko siku litakugeukia.....haya sasa
Russia-Ukraine Live Updates, June 24, 2023: Mutinous Russian mercenary fighters barrelled towards Moscow after seizing a southern city...
Asubuhi ya kuamkia leo dunia nzima imekubwa na taharuki baada ya jeshi binafsi la WAGNER lililo chini ya ndigu Prigozhin liliasi na kuvamia mji wa Rostov nchini urusi na kutwaa makao makuu ya...
Mtawala shetani ni laana kwa watu wake, ni laana kwa majirani na Dunia nzima.
Hatukuwahi kushuhudia wala kusikia hata mara moja kuna kombora au hata risasi moja imerushwa toka Ukraine au nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.