Miongoni mwa Wagombea hao ni pamoja na Rais Emmerson Mnangagwa na Mpinzani wake mkuu Nelson Chamisa.
Idadi hii ni nusu ya ile ya mwaka 2018, baada ya wagombea wengi kujiengua kutokana ada kubwa...
Mamluki wa Wagner hatimaye wamewekwa kwenye kundi linalowastahili kwa sasa kinatambulika kama kikundi cha kihalifu cha kimataifa.
Tamko hili limekuja baada ya kikundi hiki kuhusika na kuendelea...
Vita vyaanza baina ya wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner, mbwa kala mbwa, yajayo yanafurahisha...
The head of the Wagner Group, Yevgeny Prigozhin, has indicated the Russian army has...
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais...
Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa...
Sasa imejulikana rasmi kuwa nyambizi ya mchongo iliyokuwa ikifanyiwa biashara na kampuni ya Ocean Gate imepasuka na abiria wote watano kufariki dunia.
Waliofariki ni pamoja na mzamiaji maarufu wa...
#BreakingNews: Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema kuwa taifa la Urusi linakabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya usalama kuwahi kutokea katika siku za hivi karibuni, kufuatia kile ilichokisema...
Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa.
Kuna watu wanadhani vita ni kama...
Zele amekiri waziwazi wakati akiohojiwa BBC ya kuwa mashambulizi ya jeshi la Ukraine dhidi ya vikosi vya Russia hajafanikiwa kama walivyotarajia.
"Progress has been slower than desired "...
Baada ya Rwanda na Kagame kuruka ruka na kukana kuhusuka na mzozo wa Mashariki ya DRC,Hatinaye ripoti Maalumu ya UN imeishutumu Kigali..
Timu maalumu ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa Wametoa...
Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika
Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein...
Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda?
=======
Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari...
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi.
Baada ya Paris ataenda London kabla ya...
Mfumo wa maji taka usiofanya kazi katika mji mkuu wa Pretoria umechangia mlipuko mbaya wa kipindupindu ambao umesababisha vifo vya takriban watu 15, kulingana na David Mahlobo, naibu waziri wa...
Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji.
Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Grace Olotu akiwa kwenye picha na Mhe. Toomas Lukk, Balozi wa Estonia nchini Sweden baada ya mkutano uliofanyika Ubalozini Stockholm. Mazungumzo kati ya...
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini mwanamama Geun-Hye alifungwa jela baada ya kushiriki mipango ya kuingamiza Korea Kusini kwa kushirikiana na watu wasiojali chochote kuhusu Korea Kusini
Wazalendo...
Ikumbukwe hawa walikua mahabusu kule magerezani, ila Urusi kwa kuishiwa mbinu ikawapa uhuru baada ya wao kuwahusisha kwenye vita, sasa wamerudi mitaani na kuanza kupiga matukio, kunao wanabaka...
Kuzidi kutengwa Israel sambamba na kuundwa mhimili wa Tehran
[https://media]
Faisal bin Farhan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa saudi Arabia alisema hivi karibuni katika mazungumzo yake na Rais...
Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya
Kwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.