International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwema Wakuu! Bado natafakari wanaodhani kuwa kinachoendelea Huko Urusi ati kitaangusha utawala wa Putin. Kwa kweli Akili zao hawazitumii vizuri. Na macho Yao nafikiri hayaoni wala kujua Dunia...
35 Reactions
87 Replies
4K Views
Watu wengi walikuwa wakifuatilia zaidi kukengeuka kwa Prighozin na movements za kundi lake la Wagner kuteka miji na kuelekea Moscow lakini huenda habari muhimu zaidi haikupewa nafasi kubwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi. Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation. Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kitu sisi huku madongo kwinama hatukijui, ila Warusi wenyewe wanakijua, kwa sababu hao PMC walikuwa na msafara wa magari sasa je walishindwa kushambuliwa? Ndege za kivita hazikuwa na mafuta...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Vipi wakuu, Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza... 1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia...
18 Reactions
153 Replies
9K Views
Haya ndio aliyosema Putin akihutubia taifa; Nchi inakabiliwa na uhaini Uasi wa Wagner ni usaliti na sawa kisu nyuma ya mgongo wa Urusi. Hali katika mji wa Rostov ni tata na "ngumu" Vita vya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
. Mahusiano ya India na Marekani ni mahusiano yenye nguvu kati ya watu na watu, anaongeza. Asifu zaidi kujitolea kwa Rais Biden kujenga uhusiano na New Delhi. New Delhi: India na Marekani sasa...
4 Reactions
5 Replies
553 Views
PRIGOZHIN- Born 1st June, 1961 in Leningrad.- In 1981, sentenced to twelve years imprisonment for robbery and fraud.- Began selling hot dogs in 1990 after early release from prison. Expanded...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu mzee alisifiwa sana humu na pro-Russians, haya amekua mwiba sasa na naona anatumika kuishusha supapawa zaidi, Urusi imeomba mamluki wake wamzunguke na kumkamata, ila yeye amesema atafanya...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Li Dazhao si jina linalojulikana sana nje ya China, lakini kwa njia nyingi amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini humo katika miaka zaidi ya 100 iliyopita. Alikuwa mtu...
1 Reactions
6 Replies
568 Views
Bwana Yevgeny Prigozhin, mkuu wa Wagner, kundi la wapiganaji wa kulipwa ambao Urusi imewatumia sana kwenye vita vyake dhidi ya Ukraine, amemlaumu waziri wa Ulinzi wa Urusi, bwana Sergei Shoygu...
8 Reactions
60 Replies
9K Views
Taarifa zinaonyesha Warusi wanauawa takriban mia tisa kwa siku... ========== Wagner chief admits Russia losing badly against Ukraine’s counter-offensive Wagner Group financier and internally...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
7 Reactions
110 Replies
13K Views
Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii)...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Mapigano yameripotiwa kati ya mamluki wa Wagner group na Jeshi rasmi la Urusi, wapiganaji kadhaa wa Wagner wanaripotiwa kuuawa katika shambulizi liliofanywa na Jeshi la Urusi. Baadhi ya vyanzo...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
Juzi Urusi waliomba Crimea isipigwe kwa "storm shadow", Ukraine leo wamepiga daraja kwa mzinga huo huo............... AUkrainian missile strike hit the bridge connecting Russian-held parts of...
10 Reactions
49 Replies
5K Views
"Rais alikosea sana juu ya usaliti wa nchi, sisi ni wazalendo wa nchi yetu. Tulipigana na tunaendelea kupigana. Wapiganaji wote wa Wagner PMC. Hakuna wa kujisalimisha kwa ombi la Rais, tulipokuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom